The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Na ndio itakuwa mistake ya kwanza ,jack hawezi kuforce kwenda mbele ,kurudi nyuma kumsaidia cancelo inakuwa ngumu .... tegemea Liverpool wakiingia na high energy,pressing kalii Sasa jack anavopozaga mashambulizi unategemea Nini .....

Game ya Liverpool Leo ni Kama final ,baada ya kufungwa na arsenal,watakuwa hali mbaya zaidi Kama watapoteza game Leo ,hivyo basi usitegemee game nyepesi kabisa ...

Pale anfield ni pagumu ,Mara ya mwisho kushinda ni 4-1 na palikuwa hapana mashabiki kipindi Cha corona ...

Hii game Mimi naiona draw kabisa .....Kama tukishinda itakuwa bonus ,Kama unafuatilia game za Liverpool vs man city toka pep atue na klopp ,nitakushangaa sana ukiwa underrate Liverpool....
Kati ya game nyepesi kabisa kwa city ni hii ya leo Klop atapoteana hujawahi kuona.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
We will beat you at Anfield
Hatujali mna Haaland wala nani
Majogoo wanashinda
Wee jamaa bhana...sa kwa kikosi kipi, ichi ichi cha Milner, Elliot, Gomez na yule Flop Van Dyik ndo amsimamishe haaland kwel mkuu?...are you serious??

Screenshot_20221016-173842.jpg
 
Ndyo maana hamna kombe la uefa waja laana bin waheeed kazi kufuga upara tu
Cancelo hatalala na dripu mamaeee mimba fc nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom