Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Sasa wewe hehehe ...kideri fc bora mngeenda Europa tu maana huko mbele mtaaibika sana....kule ni kwa wababe kama city buana heheheheUmeona lakini wanaume tukiwa tunasakata kambumbu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe hehehe ...kideri fc bora mngeenda Europa tu maana huko mbele mtaaibika sana....kule ni kwa wababe kama city buana heheheheUmeona lakini wanaume tukiwa tunasakata kambumbu?
Wivu ni kidondaaSasa wewe hehehe ...kideri fc bora mngeenda Europa tu maana huko mbele mtaaibika sana....kule ni kwa wababe kama city buana hehehehe
Sasa tuwaonee wivu videri kweli ..kazi kufuga michezaji Ina kaswende ndio mkashindane uefa? Hehehe nawaonea huruma sanaWivu ni kidondaa
Ulishiriki uatakondaaa
Wazee wa kupakatwa.
Wajaa laana Uefa hamfiki popoteSa
Sasa tuwaonee wivu videri kweli ..kazi kufuga michezaji Ina kaswende ndio mkashindane uefa? Hehehe nawaonea huruma sana
Msimu huu kuna wa kutuzuia kweli?hapa haalandinho kule fodeninho huogopi tu? hehehehe.....hako kakombe tunakakwapua ili uende ukajifukie mashimoni vizuri na matakataka wenzioWajaa laana Uefa hamfiki popote
Mnadhani ya Baba yenu ile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa tunaweza tukamkosa mechi ya jumamosi.tackling iliyomuumiza haalandView attachment 2399760
Kesho Sina uhakika Kama ataanza ,hata akiforce basi anaweza kuanzia bench akaingia sub....!!!Pep on haaland injury update
"He feel better but we will train this afternoon and we will assess in a few hours"
"We will see how he is feeling and then decide"
Leo haaland hachezi ,lakin hao lecister city tunaenda kuwachapa goli 3+ mapema kabisa .....Leicester city ndyo tunaanza ligi leo
Leo kipara ndezi kitaota nywele
Mama cita wasindikizaji fc
PATSON DAKA ZAMBIAN BOY HAT TRICK [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Labda kama atajifunga kwenye goli lake heheheLeicester city ndyo tunaanza ligi leo
Leo kipara ndezi kitaota nywele
Mama cita wasindikizaji fc
PATSON DAKA ZAMBIAN BOY HAT TRICK [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Leo tegemea kuona back pass mpaka tuchoke [emoji23][emoji23]Apo kwa grielish sjaelewa kwanini foden asianze
Leo Alvarez lazima aoneshe anastahili kuanza hataka Kama haaland yupo ....Ngoja tuone kama ule msemo wa " no haaland no party" utaapply leo
Huyo Alvarez hamna kituLeo Alvarez lazima aoneshe anastahili kuanza hataka Kama haaland yupo ....
inatakiwa tukate uteje wa kumtegemea haaland sana Kila game ,Mimi binafsi natamani haaland atulie hata game 3 ili tusiwe na uteja wa kumtegemea mtu mmoja ..... football inahitaji team work na sio one man army ....