The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hivi huo mguu aliokanyagwa haaland si ndio huohuo alikuwa ameumia kwenye mechi ya UCL?
 
Wanajitahidi kumkwatua lakini ndio hivyo
City 1 : 0 Everton
e6a24c6a-c8b8-4d00-a2fb-9d415737f640.jpeg
 
Timu bado haijapata muunganiko mzuri leo........ Kdb bado hajaonyesha makeke yake.
 
Gealish sijaona anachofanya hadi tunakwenda half time afanye kutoka tu aingie Foden.
 
Back
Top Bottom