The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

West Ham United have reignited their interest in Manchester City's Kalvin Phillips.

Phillips is highly rated by manager David Moyes and seen as capable of replacing Declan Rice if he leaves. (footyinsider247)
FB_IMG_16726781086592755.jpg
 
Next ...

Chelsea .....

Toka TT atufunge kwenye final tumecheza game tatu na Chelsea zote tumewin ......

Je Chelsea atakubali kupigika mara nne mfululizo [emoji2][emoji2]....keep watching...
 
Game ya 16 out of 38 ...naona Kuna watu wanaipa timu ubingwa epl [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Kwa jinsi table ya PL ilivyo lolote linaweza kutokea ,Bado game nyingi sana ,na katika game hizo tegemea maajabu mengi tu ......

Man UTD wanafukuza mwizi kimya kimya ,....

Liverpool wako serious kutaka top 4 ...

Spurs anazidi kujeruhiwa huko ,conte haamin kinachotokea ..

Chelsea huko wamechanganyikiwa ,wanawaza hata kumtimua potter [emoji2]....

Newcastle ndio kashamwanga mpunga humwambii kitu na top 4 huwezi kumtoa ....

Ligi Bado mbichi Sana ,hata united namuona akija kuchallenge ubingwa epl ....

Keep watching....
 
Kuku huko kashanyonyolewa 3:1[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Game ya 16 out of 38 ...naona Kuna watu wanaipa timu ubingwa epl [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Kwa jinsi table ya PL ilivyo lolote linaweza kutokea ,Bado game nyingi sana ,na katika game hizo tegemea maajabu mengi tu ......

Man UTD wanafukuza mwizi kimya kimya ,....

Liverpool wako serious kutaka top 4 ...

Spurs anazidi kujeruhiwa huko ,conte haamin kinachotokea ..

Chelsea huko wamechanganyikiwa ,wanawaza hata kumtimua potter [emoji2]....

Newcastle ndio kashamwanga mpunga humwambii kitu na top 4 huwezi kumtoa ....

Ligi Bado mbichi Sana ,hata united namuona akija kuchallenge ubingwa epl ....

Keep watching....
Chelsea inabidi tumpige tofauti na hapo tutajikuta tunagombania top 4
 
Game ya 16 out of 38 ...naona Kuna watu wanaipa timu ubingwa epl [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Kwa jinsi table ya PL ilivyo lolote linaweza kutokea ,Bado game nyingi sana ,na katika game hizo tegemea maajabu mengi tu ......

Man UTD wanafukuza mwizi kimya kimya ,....

Liverpool wako serious kutaka top 4 ...

Spurs anazidi kujeruhiwa huko ,conte haamin kinachotokea ..

Chelsea huko wamechanganyikiwa ,wanawaza hata kumtimua potter [emoji2]....

Newcastle ndio kashamwanga mpunga humwambii kitu na top 4 huwezi kumtoa ....

Ligi Bado mbichi Sana ,hata united namuona akija kuchallenge ubingwa epl ....

Keep watching....
Acha maneno wewe
20221113_072116.jpg
 
I’m very focused on this season and it doesn’t make sense to talk about leaving because we’re in the middle of the season."
He made a point of stressing how much he has enjoyed his time at City and how his focus remains on winning silverware this season, but added: "I’m 28 years old, I’ll be 29 in the summer, and I have two more years on my Manchester City contract. My contract would end at 31. I won’t hide that my goal in the coming years, if something good happens elsewhere, will probably be to move to a new project.
 
Laporte kuna doubt kama atakuwa fiti kufikia mechi yetu na chelsea.
Ana maumivu kwenye mgongo wa chini "lower back"
 
Kdb Leo hakuwa kwenye form ..

Bila kdb jamni ,timu inastruggla hatari ,hatuna creative midfielders zaidi ya kdb ,labda gundo....

Grealish Yule mbwa sijui anaingia uwanjani kurudisha mipira Kwa goalkeeper [emoji1786]hawezi kabisa kupenetrate kwenda mbele ...

Foden anatakiwa kuwa anaanza , sijui kamfanya nin pep ....

Timu yetu imeshalemea na " kutegemea striker " huu ugonjwa tusipoutoa itakuja kutugharimu ,timu inategemea striker tu [emoji848][emoji848][emoji848]wtf ....
Mkuu
kwasasa city tunategemea zaidi nafasi za magoli kutokea katikati.
Sababu kubwa ni kuwa tunakosa winga mwenye makali anayeweza kuleta magoli tokea pembeni kama ilivyokuwa kipindi tupo na Sane.

Kwasasa foden ndie pekee tunamtegemea, grealish sio mchezaji,
mahrez amekuwa wa mechi mojamoja hana consistency.

Katika hali kama hii, kdb akikamatika hatuna ujanja na hapa ndipo unapokuja umuhimu wa kumsajili mtu kama Leao.
 
ila everton tuliwachukulia poa aisee imagine haaland anafunga goli ,anaanza kushangilia na mashabiki kama vile game imeishaa ,wakati inaendelea [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kama pep asipobadilika kapema ,maana Toka game ya lecister city , Brentford,tukaenda WC ,tumerudi Bado timu haijatulia basii kuhusu epl tusahau ....

First of all pep changes players too often such as forwards and defenders, the time against Brentford the defenders who were brought to play were undersized like John Stones and Laporte, and also Akanji who are still learning and adapting the art of Premiere League football. Should have to bring big-sized defenders like Nathan Ake, Ruben Diaz when against a physical team like Brentford.

Second, Haaland couldn't break through Brentford's defensive wall when the defensive player was the same size as him, Alvarez should be brought earlier to press. the same thing also happened when Haaland faced Van Dijk who was the same size as him.

Third, Pep always changes forwards even if the player is out of form, he should maintain the same forward line-up as Foden, Haaland and Alvarez with a 4-3-3 formation.

The fourth, is slow to change players even though it had reached the 80th minute.

Fifth, stick on the same line up as Liverpool and Arsenal for player compatibility.

Sixth, stop the boring passing game when you haven't reached the desired goal target. 1 or 2 goals are not enough for 90 minutes of the match, you must be more direct and hungry to find goals until you can play as usual, passing and relaxing.

Seventh, every team that wants to face City, they are ready with Blueprint how to block City's progress by playing defensively and counterattacking football.

Eight, Ederson is the weakest link at the back, one shot one goal like what happened in the match with Everton earlier.

Ninth, City is too dependent on Haaland to get goals unlike last season where every player is hungry to score goals, so the opponent already knows that City is only looking for Haaland as target man.

The tenth, what I saw during the match against Everton earlier Player seemed to be sitting in the comfort zone after leading by one goal, Haaland smiled and laughed as if City had won, and Everton took the opportunity to delay time to block City's momentum. they have used this tactic against Liverpool but to no avail. so you have to be serious with any team after this and consider every game as final.

Eleventh, stop talking too much on social media and express everything only on the field.

Twelfth, since the absence of Jesus City pressing has declined a little and is just hovering in the middle of the field.

Thirteenth, Alvarez, Haaland, Foden must often play together and also the defensive line, Cancelo, Nathan Ake, Ruben Diaz, Kyle Walker unless one of them is injured and can be exchanged with another player.

Fourteen, Pep seems is kind of soft to give the former City coach and his friend Arteta leading and to be Champions, but come on we want to be the Hat-trick champion and break the recod. it's time to pull gear 5 don't dream and sleep anymore.

Fifteenth, if you want to chase Arsenal stop experimenting. like Arteta who uses the same line up.

Sixteenth, Mistakes come when we let Jesus Zinchenko and Arteta go like that, it's haunting City and Pep Guardiola because they already know the formula created by Pep and City to be champions with Copy and Paste City game.

Seventeenth, Next matches are difficult against Chelsea, Man United, Spurs, while every team Arsenal faced seemed to give them an easy win to prevent City from dominating the League for the third time.

Eighteenth, so after this, change the whole mentality and how to play, talk less play more and do it in silence like we did 14 winning streak in past seasons.

Nineteenth, don't expect other teams to defeat Arsenal, only Manchester United and Liverpool will give them fierce competition later.

Twentieth, should beat Arsenal at the Emerates and Etihad when they meet us soon.

Twenty one, City have deadliest and dangerous strikers like Haaland and world champion Alvarez pair them both after this, and also Foden. Stick with the plan Don't experementing and Overthinking anymore!
 
BREAKINGGGGG: Official #ManCity will wear their home kit against Chelsea at Stamford Bridge on Thursday night.
FB_IMG_16727716698301061.jpg
 
Back
Top Bottom