The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Chumaaa Mwacity kashashindiliwa gobole 1 huko la kwenye upara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Piga mama esta haooo mpka upara ufuke moshi waja laana nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona pep kaamua kumwachia kabisa msaidizi wake kombe mwaka huu.

Keshaishiwa mbinu Apumzike kwa muda angalau timu iongozwe na mtu mwingine baadaye arudi. Apewe likizo ya lazima kama mch. Kimaro
 
Back
Top Bottom