Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Hawapo kwenye form Kwa Sasa ,inaonekana hata mazoezi hawafanyi vzuri ....Cancelo na Foden benchi linawapenda skuiz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawapo kwenye form Kwa Sasa ,inaonekana hata mazoezi hawafanyi vzuri ....Cancelo na Foden benchi linawapenda skuiz
Nlitaka kuuliza pia,whats wrong with him.Foden hata benchi hayupo.
katalala hoi leo.Reco anazidiwa nguvu na traore aisee....
Toka amerudi baada ya world cup anajitahidi kuleta impact.Kidogo kidogo namuona grealish akirudi ...
Hiyo pisi uliyopost hapo juu ndio inawapelekea moto wolvanyeto mda huu.Tunarudisha
Viva Wolverhampton [emoji91]