Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aloooo Mungu aingilie kat[emoji3061]Tukutane kituo kinachofuata 🤍🤍View attachment 2491813
Arsenal Wana jambo lao ...gap sasa ni 5 pts huku arsenal wakiwa na game mkononi.
Subiri utamkaba wewe!Kilicho waua man UTD ni rashford hawezi kurudi nyuma kusaidi kumpress Saka ....
Shaw nayee hakuwa na ukatiri wa kuzuia dribbling za Saka ...
Ushindi wa arsenal jana umeonesha kuwa ubingwa unamfuata yeye ....Subiri utamkaba wewe!
jamaa anawapa stability sana pale kati.Zinchenko is the special one ....!!