Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
.klopp maji yako shingoni hukoo haelewii .....mwaka wake wa Saba Tena [emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na iwe hivyo usitukimbieKila la kheri Tottenham
Mwacity mkishinda nipigwe Ban
Game ka ya leo ni vyema tukaanza na Rico Lewis dogo yuko vizuri kwa wepesi wake atatufaa zaidiLeo Ruben akianza na laporte itakuwa poa...walker nae aanze leo. Foden kama yuko fiti nae aanze.
Rico yupo vizuri Ila uzoefu wa walker kwenye mechi kama hizi ni muhimu.Game ka ya leo ni vyema tukaanza na Rico Lewis dogo yuko vizuri kwa wepesi wake atatufaa zaidi
Yap.. Foden akiwa fiti hii mechi inamfaa sana sababu yuko direct akiwa na mpira.Leo Ruben akianza na laporte itakuwa poa...walker nae aanze leo. Foden kama yuko fiti nae aanze.
Ka foden nako kamekua kasenge cku iz hata hakana effect bora bishoo grealish tu.Yap.. Foden akiwa fiti hii mechi inamfaa sana sababu yuko direct akiwa na mpira.
Foden..........Haaland......... ..Mahrez
De bruyne.........Rodri.............Gundogan
Ake............Dias/Akanji......laporte.....Walker
........................Ederson........
Gari bovu uyo hana maajabu SkuizRuben Dias ni kama bado hana match fitness maybe Leo anaweza kuanza.
Grealish Yuko kwenye form ,ila foden akirudi ni moto mwingine ...Ka foden nako kamekua kasenge cku iz hata hakana effect bora bishoo grealish tu.