The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Leo munapasuliwa na kutusafishia njia ya kupita.
Inaonekana hamuna nia ya kuongoza ligi, ni bora mutupishe vidume, tupambane na huyo shangazi yenu.
Unaambiwa Leo Hugo lloris ana mipira yake miwili wavuni ya kuokota.
 
Ndomana natamani Leo Bernardo aanze maana huwa anacheza deep kusaidia flow ya mipira kuja juu kwa kina kdb.

Lewis nae ni baller mzuri kwaiyo atassidia kuongeza stability pale kati tifauti na walker me namuonaga kama mkamiaji tu.
Walker inapokuja ishu ya physical battle ni chaguo sahihi badala ya lewis.

Lewis ana kau-zinchenko flani hivi.

Kama ni inshu ya kucontrol game basi lewis yuko vizuri lakini sasa akiwa anapambana na mawinga wahuni yupo vulnerable.
 
Ni vile tu bado ni mdogo. Anakuwa anazidiwa nguvu ila ni mzuiaji mzuri tu nae au hukumbuki salah alivyowekwa mfukoni.
 
Pep Leo amuanzishe Bernardo asee nimemiss maudambwiudamvwi yake
 
Arooooo center back ya akanji na walker!!!!!
FoNnDw-XoAAl-Js.jpeg
 
Pep anaingia na approach ileile ya game ya kwanza.

Alvarez anastablize flow ya mashambulizi, Bernardo ni baller anasaidiana na rodri kuileta mipira juu.

Hapo kwenye center back ndio sielewi nini kinaendelea.

Can we do it without kdb again?
 
Walker kwenye center back huwa ana struggle sasa sjui pep ana malengo gani, akanji nae sio solid kabisa kumtegemea.

Yan kwamba lapote na dias nao hawako fiti?

Huyu mzee ana masihara.
 
Walker kwenye center back huwa ana struggle sasa sjui pep ana malengo gani, akanji nae sio solid kabisa kumtegemea.

Yan kwamba lapote na dias nao hawako fiti?

Huyu mzee ana masihara.
Pep hawezagi kufanya line up bila kutu suprise.
 
Back
Top Bottom