Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Spurs bila counter Hamna timu pale.Mechi ilopita walitupress kwenye half yetu wakatugonga goli za chapchap.
Wanaweza wasitegemee kaunta pekeake.
Ukiwakamata vizuri tu wale baasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spurs bila counter Hamna timu pale.Mechi ilopita walitupress kwenye half yetu wakatugonga goli za chapchap.
Wanaweza wasitegemee kaunta pekeake.
Unaambiwa Leo Hugo lloris ana mipira yake miwili wavuni ya kuokota.Leo munapasuliwa na kutusafishia njia ya kupita.
Inaonekana hamuna nia ya kuongoza ligi, ni bora mutupishe vidume, tupambane na huyo shangazi yenu.
Walker inapokuja ishu ya physical battle ni chaguo sahihi badala ya lewis.Ndomana natamani Leo Bernardo aanze maana huwa anacheza deep kusaidia flow ya mipira kuja juu kwa kina kdb.
Lewis nae ni baller mzuri kwaiyo atassidia kuongeza stability pale kati tifauti na walker me namuonaga kama mkamiaji tu.
Ni vile tu bado ni mdogo. Anakuwa anazidiwa nguvu ila ni mzuiaji mzuri tu nae au hukumbuki salah alivyowekwa mfukoni.Walker inapokuja ishu ya physical battle ni chaguo sahihi badala ya lewis.
Lewis ana kau-zinchenko flani hivi.
Kama ni inshu ya kucontrol game basi lewis yuko vizuri lakini sasa akiwa anapambana na mawinga wahuni yupo vulnerable.
Hajarejea bado mbonaFoden karejea, stones nje kwa wiki 3-4
Namuona mwanangu bernado ndani ya nyumba.Arooooo center back ya akanji na walker!!!!!View attachment 2507454
Mimi mwenyewe sijaelewaArooooo center back ya akanji na walker!!!!!View attachment 2507454
Pep hawezagi kufanya line up bila kutu suprise.Walker kwenye center back huwa ana struggle sasa sjui pep ana malengo gani, akanji nae sio solid kabisa kumtegemea.
Yan kwamba lapote na dias nao hawako fiti?
Huyu mzee ana masihara.
Naona munapakuliwa, hapo.Rico anapiga left, walker kulia kama kawa.