Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
[emoji599][emoji2422] Khaldoun Al-Mubarak was waiting for this day to remove all charges against Manchester City from the Premier League, as he did previously with UEFA. [Mirror Football]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.Sasa timu zinazotumia pesa na haziulizwi si united [emoji2][emoji2][emoji2]
Kila siku man city ,kumbe matimu kibao wanayapotezea na yanaspend a lot ,Tena na kutoka na zero trophies msimu Hadi msimu [emoji2][emoji2][emoji2]
Hao wanajitekenya tu.Yani mambo ya 2009 uko bado tunafatiliwa tu mpaka leo, hawawezi kukausha tu kiroho safi bana!!
Hiyo mizee ya EPL bure kabisa.
Wanataka watuchezeshe ligi moja na kina Doncaster na Wycombe fc.
Haya mambo siyo mepesi kama unavyochukuliaHao wanajitekenya tu.
Hii haina tofauti na ile skendo ya uefa kipindi kile kidogo tupigwe pin.
Hapa tunachomoka hawatoamini.
Ile ya uefa tulipigwa pin kabisa ila tulikata rufaa ikapinduliwa.Hao wanajitekenya tu.
Hii haina tofauti na ile skendo ya uefa kipindi kile kidogo tupigwe pin.
Hapa tunachomoka hawatoamini.
Man u mapato yao ni makubwa. Expenditure yao inakuwa counterbalanced na mapato yao.Mkuu ukifuatilia huo msimu matumizi ya man city n UTD utagundua united hana tofauti na sisi ila epl kutokana sijui na nin wanakomaa na city .....
Hakuna timu imespend kuanzia 2016-2023 kama united na hawana hata kikombe .....full kununua wachezaji wa gharama ,mabillion ya pesa wametumia ila wanatoa macho Kwa city tu .....
Sheria za PL zinasema wakishaprove na kutoa maamuzi hauruhusiwi kwenda kukata rufaa ....Ile ya uefa tulipigwa pin kabisa ila tulikata rufaa ikapinduliwa.
Hii inaweza kuwa ngumu kuliko ile.
Kama hizo tuhuma zina ushahidi aisee mmekwishaSheria za PL zinasema wakishaprove na kutoa maamuzi hauruhusiwi kwenda kukata rufaa ....
Sasa wapo kwenye namna ya kuprove hayoo madai ...
Za ndani wanasema Kuna staff mmoja ndio kavujisha hizo taarifa nyeti na kuzipeleka PL,kwamba wazamin wengi wa city ni makampuni ya shekhe monsur,yapo katika mjina mengine ....
Mambo ni mengi wacha tuone mwisho wakee ....
Hii ni very unlikely though it is possible.Man city could reportedly drop down four divisions if they are expelled from the Premier League with the EFL holding no obligation to accept them.
If the extraodinary scenario will come to fruition, the Cityzens could drop all the way down to the National League, competing with the likes of wrexham, chesterfield and Notts County.
@ Daily Express
Na bado [emoji23]Hehehehe
Maisha haya bana.
Yani hata hatujavuta pumzi vizuri ka championship kananukia dah.
Tutakonda mpaka meno.
Wazee wa janjajanjaMan u mapato yao ni makubwa. Expenditure yao inakuwa counterbalanced na mapato yao.
Sisi inaonekana expenditure yetu na revenue havijabalance.
Tulikuwa tuna inflate mapato na ku deflate matumizi.
Kuna baadhi ya miamala ilikuwa inafanywa informally kupitia third parties ili kukwepa mahesabu (kulingana na uchunguzi).
Right now we are heading from HERO to ZERO.BREAKINGGGG [[emoji954]]: Sources close to Manchester City players are leaking info to the press
‘Pep Guardiola was in tears last night. He loves Manchester City Football Club & now believes his legacy will be tainted forever. He don’t believe his players will get the credit they deserve’
[via Indykaila ]
Huku ni kujipa matumaini tu.Hii ni very unlikely though it is possible.
Tunaweza kupunguziwa points kadhaa kama tukikutwa na hatia na kuondolewa baadhi ya mataji pia.
Ngoja tuone itaishaje.