Sababu kubwa ya Juventus kushishwa daraja ni kosa la kupanga matokeo na ushahidi ulikuwa wazi ....
Sasa hizi za city ni romours ....
Wanasema man city ilikuwa na sponsor fake ...
Wanasema Kuna pesa walikuwa wanapewa wachezaji nje ya mkataba,kuilipa marefaree na mengine kupitia malipo ambayo sio rasimi ...
Wanasema sponsor wa city ni makampuni ambayo sio rasimi....
Wanasema Kuna sponsor wa city ambao ni makampuni ya monsur,hivyo basi tajiri anatumia mbinu mbali mbali kuingizi pesa kwenye clubs tofauti na utaratibu ,akidai kuwa n sponsores wa club kumbe ni yeye mwenyewe Kwa majina tofauti [emoji3][emoji3][emoji3]...
......
Ambapo sheria za mpira ffs zinasema mmiriki hatakiwi kuingizi pesa kutoka nje na kuziweka kwenye clubs ,club inatakiwa kujiendesha yenyewe Kwa mafanikio yake ....
Hizo zote ni hoja dhaifu ambazo hata wanasheria wa bongo wanapindua meza, board nzima ya city na lawyer wanaweza tolea maelezo yaliyonyooka Kwa evidence kama tulivofanya UEFA simple kabisa ....