The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sababu kubwa ya Juventus kushishwa daraja ni kosa la kupanga matokeo na ushahidi ulikuwa wazi ....

Sasa hizi za city ni romours ....

Wanasema man city ilikuwa na sponsor fake ...

Wanasema Kuna pesa walikuwa wanapewa wachezaji nje ya mkataba,kuilipa marefaree na mengine kupitia malipo ambayo sio rasimi ...

Wanasema sponsor wa city ni makampuni ambayo sio rasimi....

Wanasema Kuna sponsor wa city ambao ni makampuni ya monsur,hivyo basi tajiri anatumia mbinu mbali mbali kuingizi pesa kwenye clubs tofauti na utaratibu ,akidai kuwa n sponsores wa club kumbe ni yeye mwenyewe Kwa majina tofauti [emoji3][emoji3][emoji3]...
......

Ambapo sheria za mpira ffs zinasema mmiriki hatakiwi kuingizi pesa kutoka nje na kuziweka kwenye clubs ,club inatakiwa kujiendesha yenyewe Kwa mafanikio yake ....

Hizo zote ni hoja dhaifu ambazo hata wanasheria wa bongo wanapindua meza, board nzima ya city na lawyer wanaweza tolea maelezo yaliyonyooka Kwa evidence kama tulivofanya UEFA simple kabisa ....
Endelea kujipa matumaini utapigwa rungu la kichwa na hakuna utakachofanya
 
[emoji599][emoji91] Manchester City will throw everything they have to beat the Premier League and destroy financial charges. The club will fight the process all the way, which could even mean going to the High Court or even Supreme Court - the highest legal platform in England - if required. [The Sun Football]
 
Danny Murphy mpuuzi yule eti kadai hakuna mchezaji wa chelsea kati ya hao wapya watakaoanza kwenye line up ya city, na kwamba Enzo hawezi kuwafikia Rodri na Casemiro

Gary Neville na Dan Murphy wakifunguaga hayo mabakuli yao lazima watapike udongo.

Useless kabisa hawa wazee wa Liverpool na Manure

View attachment 2509987
View attachment 2509984
Fn6u9UOXkAIWif-
Enzo kumuweka rodri benchi ni ngumu. Ila kuna watu kama mudryk, nkunku(angekuwa anacheza sambamba na haaland), joao felix pale mna vyuma vya kazi..hata yule badiashile ni mtu na nusu anapata namba mbele ya mtu kama akanji au stones.

Project yenu ikitiki mtatesa sana.
Muombe wachezaji mliowapa mikataba ya 7+ years wasiwe flops.
 
Hawana kocha Hao....potter ile timu inemzidi uwezo
 
Wakitutoa epl ,siwezi poteza muda kuangalia utopolo wa sijui arsenal ,man UTD ,Chelsea nashuka nayoo huko hukoo [emoji3][emoji3]...

PL wenyewe watakuwa wamepoteza fan base itakuwa sawa na Seria a...
Acha kujidanganya, Man city sio timu kubwa yenye fanbase kubwa kama unavyojidanganya.

Ni club ndogo kama Everton tu, hamna impact yeyote kama ingekuwa Man united, Liverpool or Arsenal.

Man city is nothing but a mediocre club
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mambo mengine hayawezekan hata ndotoni hasa hili la kuchukua et makombe ....

Watu tulishakata keki muda Sana ,tukasherekea kula bia Sana ,pesa tushakula za ubingwa ....Leo eti zirudi [emoji3][emoji3][emoji3]
Wala sio inshu ya pesa,ni trophies.

Yani makombe yote tuliyobeba ndani ya kipindi cha 2009-2022 yanakabidhiwa kwa runner-ups.

Epl 2011/12 - bingwa anakuwa Man u

Epl 2013/14- bingwa anakuwa Liverpool

Epl 2017/18- bingwa anakuwa Man u

Epl 2018/19 -bingwa anakuwa Liverpool

Epl 2020/2021- bingwa anakuwa Man u

Epl 2021/2022 -bingwa anakuwa Liverpool.
 
Hakuna makombe yatakayopewa run up. Wanaweza kunyang' anywa ubinga na ligi husika ikawa bila mshindi mwaka huo.
 
Mnachotakiwa ni kukata rufaa tu. Huyo private consultan atakachofanya ni kupendekeza adhabu sio evidence. Wai wameshasema kutoa evidence inabaki kwenu. Mkichomoa safari hii ninyi ni wanaume
 
Mnachotakiwa ni kukata rufaa tu. Huyo private consultan atakachofanya ni kupendekeza adhabu sio evidence. Wai wameshasema kutoa evidence inabaki kwenu. Mkichomoa safari hii ninyi ni wanaume
Tumemchukua Lord Pannick KC kwa ajili ya kutu defend.

Shida hata timeline hawajaweka.
Inaweza ikachukua miaka kadhaa kufikia hitimisho, jambo ambalo sio zuri kwa sababu wachezaji watataka kuondoka sababu hatima ya klabu inakuwa haijulikani.
 
Hakuna makombe yatakayopewa run up. Wanaweza kunyang' anywa ubinga na ligi husika ikawa bila mshindi mwaka huo.
Nimesoma give me sports na the telegraph wameandika hicho kitu kama moja ya adhabu zinazoweza kutolewa kama tukikutwa na hatia.

Ngoja tuone hio commission itaamua vipi wakishajiridhisha.
 
Itabidi mfanye hivyo
Hehehe mshaanza kutu count out wakati hata hukumu bado!!!

EFL nzima (championship, league 1&2) nafasi hakuna.

Hiyo maana yake tukiwa expelled tunatoka kwenye english football league yote tunaenda kuanza upya kwenye national league.
 
Tumemchukua Lord Pannick KC kwa ajili ya kutu defend.

Shida hata timeline hawajaweka.
Inaweza ikachukua miaka kadhaa kufikia hitimisho, jambo ambalo sio zuri kwa sababu wachezaji watataka kuondoka sababu hatima ya klabu inakuwa haijulikani.
Huyu Lord Pannick si ndio tulimtumia na kwenye ile kesi ya uefa?
 
Enzo kumuweka rodri benchi ni ngumu. Ila kuna watu kama mudryk, nkunku(angekuwa anacheza sambamba na haaland), joao felix pale mna vyuma vya kazi..hata yule badiashile ni mtu na nusu anapata namba mbele ya mtu kama akanji au stones.

Project yenu ikitiki mtatesa sana.
Muombe wachezaji mliowapa mikataba ya 7+ years wasiwe flops.
Mkuu huyo Rodri ana kitu gani special kumzidi Enzo?
 
Sheria za PL zinasema wakishaprove na kutoa maamuzi hauruhusiwi kwenda kukata rufaa ....

Sasa wapo kwenye namna ya kuprove hayoo madai ...

Za ndani wanasema Kuna staff mmoja ndio kavujisha hizo taarifa nyeti na kuzipeleka PL,kwamba wazamin wengi wa city ni makampuni ya shekhe monsur,yapo katika mjina mengine ....

Mambo ni mengi wacha tuone mwisho wakee ....
Mushuke daraja tu, hakuna namna.
 
Mtuombee tuchomoke maana ligi bila uwepo wa city haina mvuto, haitakuwa tofauti na ndondo cup sawa?
Alishushwa Juventus kule Italy, na ligi iliendelea kunoga kama pilau, sembuse nyinyi vibwengo, ambao hata UCL hamjawahi nyakua.
Inatakiwa mushushwe kabisa ili nyinyi mashabiki uchwara murudi kwenye vilab vyenu vya awali.
 
Acha kujidanganya, Man city sio timu kubwa yenye fanbase kubwa kama unavyojidanganya.

Ni club ndogo kama Everton tu, hamna impact yeyote kama ingekuwa Man united, Liverpool or Arsenal.

Man city is nothing but a mediocre club
Epl bila man city = Seria A ....

Hutaki pita vileee[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wala sio inshu ya pesa,ni trophies.

Yani makombe yote tuliyobeba ndani ya kipindi cha 2009-2022 yanakabidhiwa kwa runner-ups.

Epl 2011/12 - bingwa anakuwa Man u

Epl 2013/14- bingwa anakuwa Liverpool

Epl 2017/18- bingwa anakuwa Man u

Epl 2018/19 -bingwa anakuwa Liverpool

Epl 2020/2021- bingwa anakuwa Man u

Epl 2021/2022 -bingwa anakuwa Liverpool.
Hakuna kitu kama hiki kwenye football mzee ,hio imeshaenda ....
 
Back
Top Bottom