Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka Sasahivi hizo point za walinda misitu Man City kaisha ziweka kipindoni,Timu za Epl zitegemee mbeleko ya Fa tu ya kupoka point au kumshusha daraja City,la sivyo kombe hili watakuwa wanalitiza kwenye picha,au wasubiri Pep haondoke CityNext ni nottingham forest then tunaelekea ligi ya kiumeni UEFA champions league.
Wameona tutaifanya farmers league wameamua kutuletea zengwe kutushusha madaraja..Mpaka Sasahivi hizo point za walinda misitu Man City kaisha ziweka kipindoni,Timu za Epl zitegemee mbeleko ya Fa tu ya kupoka point au kumshusha daraja City,la sivyo kombe hili watakuwa wanalitiza kwenye picha,au wasubiri Pep haondoke City
Huyu na mwenzake Allison kwenye penati ni weupe pee hamna kitu.ule ule upande aliopoint Saka kapiga kule kule [emoji2][emoji2][emoji2]sikumbuki ni Lin ederson amesave penalty...View attachment 2518888
Mtalipa mwaka 2096 mkiwa kaburini sio mwaka huuuDaah nyie wazee,, hua mnatualibia sana mambo yetu,, sasa tunatangaza vita. Visasi vitalipwa
Na mkataba wa pep ni mpaka 2026 mtaisoma namba raundi hiii [emoji81][emoji81][emoji81]Mpaka Sasahivi hizo point za walinda misitu Man City kaisha ziweka kipindoni,Timu za Epl zitegemee mbeleko ya Fa tu ya kupoka point au kumshusha daraja City,la sivyo kombe hili watakuwa wanalitiza kwenye picha,au wasubiri Pep haondoke City
Ni 2025 mkuu.Na mkataba wa pep ni mpaka 2026 mtaisoma namba raundi hiii [emoji81][emoji81][emoji81]
Ederson kwenye penalty hesabu maumivu..ule ule upande aliopoint Saka kapiga kule kule [emoji2][emoji2][emoji2]sikumbuki ni Lin ederson amesave penalty...View attachment 2518888
Another outstanding perfomance from jack..Grealish anaimprove siku hadi siku.
Kawaida tu,, mbona,, bado tup na nyie bega kwa bega mpka kieleweke1 out of 9 points!!
Arsenal ain't serious with the trophy.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nottingham Forest leo ndyo tunaanza ligi
Kucheza na timu ambayo haina kombe la uefa ni utovu wa nidham
Nottingham Forest kombe la Uefa 2
Mwacity [emoji507]kazi kufuga upara tu