MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
hii City mbona itaniua.
Tunadraw na Nottingham kweli [emoji848] aisee
Tunadraw na Nottingham kweli [emoji848] aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie si ndio wale wa 12+W au [emoji23][emoji23][emoji23]hii City mbona itaniua.
Tunadraw na Nottingham kweli [emoji848] aisee
[emoji23][emoji23][emoji23]Nottingham forest up next.
I can see another 3 clean points.
Hatutakiwi kudondosha point hapo.
Aaargh yaan hatuna consistency kabisa...hata kushinda mechi 3 saivi ni mgogorohii City mbona itaniua.
Tunadraw na Nottingham kweli [emoji848] aisee
You couldn't keep the pressure for two days [emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe kileleni tulikuwa tunatalii tu kmmakeee
Mlivomfunga Arsenal mkaona imetosha[emoji23][emoji23] lakini pia msilaumu, wachezaji wamechoka baada ya mechi na Arsenalhii City mbona itaniua.
Tunadraw na Nottingham kweli [emoji848] aisee
Hehehe endelea kusubiri nazi chini ya mchongoma.Nyie kobe mumetoa sare, sio?
Naamini ubingwa ni wetu huu.
Wakati tunafungwa goli, bernado silva ambaye alikuwa na majukumu ya left back alikuwa out of position.Pep kila siku anapigwa counter attack lakini habadiliki. Sijui mazoezini anawafundisha nini huyu. Bullshit
Game ya jana tumekuwa butu kisenge, kuna zile chance walizopata kina foden,laporte, rodri lakini walichokifanya wanajua wenyewe.We possessed the ball by less than 40 percent against arsenal and we were clinical enough to score 3 goals.
Yesterday, we possessed the ball by about 70+ percent but we were blunt only to score one goal.
It's a combination of poor finishing & poor defending.