The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

RB Leipzig watamkosa straika wao Christopher Nkunku siku ya kesho sababu ya majeraha.

City iko full mziki.
 
Tunamuhitaji KDB awe kwenye form yake, mechi ya kwanza tulikosa mtu wa ku spark mashambulizi, tuliishia kuwa na game control bila kuwa na continous threat golini kwao.

Pia ningependa Phil Foden aanze sababu huwa anafanya runs kwenye box tofauti na Mahrez (najua Grealish ataanza). Uwepo wa Foden na in form KDB utatufanya tuwe direct kwa kiasi fulani tofauti na mechi iliyopita.
 
Mahrez kasugua bench mechi 2 mfululizo, leo anaweza kuanza.
 
Team yetu msimu huu Haina machachali kabisa CL ,sio kama msimu uliopita tuliomuwashia moto Madrid...

Yaani kiufupi nasubili miujiza kabisa [emoji3]....
 
Tunamuhitaji KDB awe kwenye form yake, mechi ya kwanza tulikosa mtu wa ku spark mashambulizi, tuliishia kuwa na game control bila kuwa na continous threat golini kwao.

Pia ningependa Phil Foden aanze sababu huwa anafanya runs kwenye box tofauti na Mahrez (najua Grealish ataanza). Uwepo wa Foden na in form KDB utatufanya tuwe direct kwa kiasi fulani tofauti na mechi iliyopita.
Pep anataka ball retention kuliko agressive play, sidhani kama foden ataanza.

Pep anataka ball retention ili kuzima pressure ya leipzig, kwaiyo kwenye wings naona ataenda na Grealish na Mahrez ambao wako possessive kuliko foden.

Kdb ataanza ili kuongeza mashambulizi golini kwa leipzig though pass accuracy yake imeshuka kwa siku za hivi karibuni.
 
It's another good day for the cityzens.

Leo ni leo asemaye kesho ni mchawi.

City 2:0 Leipzig.

Kibishibishi mpaka final.
 
Team yetu msimu huu Haina machachali kabisa CL ,sio kama msimu uliopita tuliomuwashia moto Madrid...

Yaani kiufupi nasubili miujiza kabisa [emoji3]....
Kushinda 4:3 nyumbani ndio umachachari huo?
halafu ugenini tunaenda kula 3:1 ndo umachachari huo? ndio kumuwashia moto madrid hivyo?

group stage pekee tunaruhusu goli 10 ndani ya mechi 6 ndio umachachari huo?

Kwenye uefa haijalishi unafunga vp, kama nawew unafungwa ni mbovu tu, city ya msimu uliopita unayoiita machachali kwenye uefa ilikuwa mbovu mno, inafunga magoli meeengi huku na yenyewe inafungwa za kutosha.

We unaangalia ubora wa timu kwa kufunga magoli mengi pekeake? Hiyo sio epl bro ya 'cha muhim point tatu'.

City kushinda kwa leipzig leo hakuna maajabu yoyote, maajabu ni leipzig kushinda.
 
Man city are unbeaten in the last 23 home games in UEFA champions league.

Will Leipzig end the streak?
Kupigwa na leipzig leo ni zaidi ya aibu, tuue game chap tukamsubili anaekuja.

Cha muhim kipara asi overthink, tupia ordinary back four pale nyuma, namba 2 aanze na walker ili kuendana na pace ya werner, maana unaweza shangaa kaanza na stones.
 
Kushinda 4:3 nyumbani ndio umachachari huo?
halafu ugenini tunaenda kula 3:1 ndo umachachari huo? ndio kumuwashia moto madrid hivyo?

group stage pekee tunaruhusu goli 10 ndani ya mechi 6 ndio umachachari huo?

Kwenye uefa haijalishi unafunga vp, kama nawew unafungwa ni mbovu tu, city ya msimu uliopita unayoiita machachali kwenye uefa ilikuwa mbovu mno, inafunga magoli meeengi huku na yenyewe inafungwa za kutosha.

We unaangalia ubora wa timu kwa kufunga magoli mengi pekeake? Hiyo sio epl bro ya 'cha muhim point tatu'.

City kushinda kwa leipzig leo hakuna maajabu yoyote, maajabu ni leipzig kushinda.
Team yetu Kwa Sasa Haina uwezo wa kupata hata goli 4 mbele ya Madrid....

Kutolewa mwaka Jana semi final na madridi mim nahesabu kama bad lucky kwetu ,maana Hadi dakika ya 90 tulikuwa na 2-0 ,yale magoli mawili ya Rodrigo ndio yalitumaliza ...

Kusema ukweli Kwa sasa hatuna team ya CL tuache kujipa matumain hewa ,mfano nitajie ni nan solid defence yetu ambayo ni uhakika kutulinda kwenye CL ,vip midifilder,vip winger ....

Mwaka Jana bernado alikuwa false nine mkali Sana ,foden alikuwa sio mchezo , Mahrez alikuwa ndio our hero ,walker alikuwa jiwe ,cancelo na mipass yake ilikuwa balaaa,zinchenko moto ulikuwa mkali ,Jesus , sterling walikuwa hatari huyo grealish tunaemtegemea Leo alikuwa anasugua bench ,kdb alikuwa sio wa Leo ,maana anaanza hata bench ....

Saizi tunamtegemea ake kama solid defender maana stone ,akanji ,Laporte ,dias wote hawaeleweki ni tia maji tia maji ,...

Usione pep anafanya rotation ukafikili anapenda hapana ukweli ni kuwa wachezaji ndio viwango vinapanda na kushuka ...

Mfano Leo nilikuambia nitajie first eleven ya Leo ? Unaweza ...

Lakin mwaka Jana ulikuwa unajua kabisa cancelo ---laporte -- dias --- walker ,,,,,hiyo back line ilikuwa solid mpaka walker wakasema anamsimamisha mbappe ,tupo group stage na psg na tunamuwashia moto ...

Leo unakuja na back line ya kina akanji --stone -- ake ,,,,....harafu et unataka CL .....

Kiufupi mim nasubili miujiza kufika hata semi final CL ....
 
Kupigwa na leipzig leo ni zaidi ya aibu, tuue game chap tukamsubili anaekuja.

Cha muhim kipara asi overthink, tupia ordinary back four pale nyuma, namba 2 aanze na walker ili kuendana na pace ya werner, maana unaweza shangaa kaanza na stones.
Unaikumbuka ile robo final tumefugwa na Lyon goli 3-1,ilikuwa 2019 tulikuwa favorite Kwa asilimia kubwa mno ,, sterling alikosa magoli akiwa na goli pekee yake ,hakuna robo final iliuma kama ile ,...

Kama uliangalia ile game usingeanza kusema ni aibu kufungwa Leo ,..

Mim Leo naingia Sina expectation zozote kubwa maana pep inapokuja kwenye CL hatuna tofauti na psg ,sio sisi tu hata fans uwanjan hawana confidence kabisa ,mara nyingi sana anatuangusha ..

Football kama hujajiandaa,au uki
zidiwa unaadhibiwa simple kabisa ...

Let's go ...
 
Pain killer hivi ni mpira upi ambao wewe huwa unaangalia?
Yani city ya msimu uliopita inapigwa goli 10 ndani ya mechi 6 za makundi unasema ina solid defence?

Unasema mechi ya madrid tulikosa bahati?! Sawa tuseme tulikosa bahati, vipi kama tungeshinda 4:0 au 4:1 first leg hiyo bahati bado tungeikosa? Hiyo 4:3 ilikuwa ya nin kama kweli tulikuwa na solid defence?

Madrid wametupiga goli 6 ndani ya mechi mbili halafu unasema tulikuwa na solid defence, solid defence ipi duniani inavuja ivyo?

Narudia kusema hivi, kwenye uefa haijalishi unafunga magoli mangap, kinachomatter ni unawezaje kulinda magoli unayopata, timu zote zinazobeba uefa zinapita kwenye kanuni hii, man city defence ilikuwa mbovu group stage yote hakuna hata clean sheet 1, timu inashinda 4:3 mara 6:4, 3:2 halafu unaisifia na tena kwenye uefa bora ingekuwa ligi tunasema cha muhimu point 3.

Kama hiyo ndio solid defence kwa mtazamo wako basi sawa.
 
Unaikumbuka ile robo final tumefugwa na Lyon goli 3-1,ilikuwa 2019 tulikuwa favorite Kwa asilimia kubwa mno ,, sterling alikosa magoli akiwa na goli pekee yake ,hakuna robo final iliuma kama ile ,...

Kama uliangalia ile game usingeanza kusema ni aibu kufungwa Leo ,..

Mim Leo naingia Sina expectation zozote kubwa maana pep inapokuja kwenye CL hatuna tofauti na psg ,sio sisi tu hata fans uwanjan hawana confidence kabisa ,mara nyingi sana anatuangusha ..

Football kama hujajiandaa,au uki
zidiwa unaadhibiwa simple kabisa ...

Let's go ...
Yoyote anaweza kupita ila naamin city tunayo nafas kubwa ya kupita leo, cha muhimu tuwe strong tu pale nyuma.
 
Back
Top Bottom