Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Nkuku Chelsea wamennua bomu lingine hili mchezaji kila baada ya wiki mbili yupo wodiniRB Leipzig watamkosa straika wao Christopher Nkunku siku ya kesho sababu ya majeraha.
City iko full mziki.
Tunamuhitaji KDB awe kwenye form yake, mechi ya kwanza tulikosa mtu wa ku spark mashambulizi, tuliishia kuwa na game control bila kuwa na continous threat golini kwao.RB Leipzig watamkosa straika wao Christopher Nkunku siku ya kesho sababu ya majeraha.
City iko full mziki.
Mahrez kasugua bench mechi 2 mfululizo, leo anaweza kuanza.Tunamuhitaji KDB awe kwenye form yake, mechi ya kwanza tulikosa mtu wa ku spark mashambulizi, tuliishia kuwa na game control bila kuwa na continous threat golini kwao.
Pia ningependa Phil Foden aanze sababu huwa anafanya runs kwenye box tofauti na Mahrez (najua Grealish ataanza). Uwepo wa Foden na in form KDB utatufanya tuwe direct kwa kiasi fulani tofauti na mechi iliyopita.
Gvardol mech ya kwanza kamzima Haaland dakika zote 90 ngoja leo tuone.A battle to watch.
Erling Haaland vs Josko Gvardiol.
Jamaa anaonyesha kila dalili za kuwa gari la mkaa.Huyu Nkuku Chelsea wamennua bomu lingine hili mchezaji kila baada ya wiki mbili yupo wodini
Pep anataka ball retention kuliko agressive play, sidhani kama foden ataanza.Tunamuhitaji KDB awe kwenye form yake, mechi ya kwanza tulikosa mtu wa ku spark mashambulizi, tuliishia kuwa na game control bila kuwa na continous threat golini kwao.
Pia ningependa Phil Foden aanze sababu huwa anafanya runs kwenye box tofauti na Mahrez (najua Grealish ataanza). Uwepo wa Foden na in form KDB utatufanya tuwe direct kwa kiasi fulani tofauti na mechi iliyopita.
Kushinda 4:3 nyumbani ndio umachachari huo?Team yetu msimu huu Haina machachali kabisa CL ,sio kama msimu uliopita tuliomuwashia moto Madrid...
Yaani kiufupi nasubili miujiza kabisa [emoji3]....
Kupigwa na leipzig leo ni zaidi ya aibu, tuue game chap tukamsubili anaekuja.Man city are unbeaten in the last 23 home games in UEFA champions league.
Will Leipzig end the streak?
Nakahifadhi haka ka kauli kako.Kila la kheri Leipzig
Mwacity mkishinda naacha kutumia jf
Team yetu Kwa Sasa Haina uwezo wa kupata hata goli 4 mbele ya Madrid....Kushinda 4:3 nyumbani ndio umachachari huo?
halafu ugenini tunaenda kula 3:1 ndo umachachari huo? ndio kumuwashia moto madrid hivyo?
group stage pekee tunaruhusu goli 10 ndani ya mechi 6 ndio umachachari huo?
Kwenye uefa haijalishi unafunga vp, kama nawew unafungwa ni mbovu tu, city ya msimu uliopita unayoiita machachali kwenye uefa ilikuwa mbovu mno, inafunga magoli meeengi huku na yenyewe inafungwa za kutosha.
We unaangalia ubora wa timu kwa kufunga magoli mengi pekeake? Hiyo sio epl bro ya 'cha muhim point tatu'.
City kushinda kwa leipzig leo hakuna maajabu yoyote, maajabu ni leipzig kushinda.
Unaikumbuka ile robo final tumefugwa na Lyon goli 3-1,ilikuwa 2019 tulikuwa favorite Kwa asilimia kubwa mno ,, sterling alikosa magoli akiwa na goli pekee yake ,hakuna robo final iliuma kama ile ,...Kupigwa na leipzig leo ni zaidi ya aibu, tuue game chap tukamsubili anaekuja.
Cha muhim kipara asi overthink, tupia ordinary back four pale nyuma, namba 2 aanze na walker ili kuendana na pace ya werner, maana unaweza shangaa kaanza na stones.
Yoyote anaweza kupita ila naamin city tunayo nafas kubwa ya kupita leo, cha muhimu tuwe strong tu pale nyuma.Unaikumbuka ile robo final tumefugwa na Lyon goli 3-1,ilikuwa 2019 tulikuwa favorite Kwa asilimia kubwa mno ,, sterling alikosa magoli akiwa na goli pekee yake ,hakuna robo final iliuma kama ile ,...
Kama uliangalia ile game usingeanza kusema ni aibu kufungwa Leo ,..
Mim Leo naingia Sina expectation zozote kubwa maana pep inapokuja kwenye CL hatuna tofauti na psg ,sio sisi tu hata fans uwanjan hawana confidence kabisa ,mara nyingi sana anatuangusha ..
Football kama hujajiandaa,au uki
zidiwa unaadhibiwa simple kabisa ...
Let's go ...
I feel it coming, japo ningependa zaidi akianza foden.Mahrez kasugua bench mechi 2 mfululizo, leo anaweza kuanza.