Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Mtashinda 7:1Tukiwapiga 5 sio mbaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtashinda 7:1Tukiwapiga 5 sio mbaya.
Unaacha kusikitikia timu yako unakuja kisikitikia majiran, kila mtu akomae kivyake.shda so kushinda 7 ila nawaskitikia kwa7bu ndo mwisho wenu umefika[emoji40][emoji40][emoji22]
Naona wanaweza kutupa Napoli au Chelsea ..Uefa wapange hiyoo dro chap tumjue kibwengo gani atakatiza mbele.
Watupe UEFA mapema kabla team hazijavuja damu Kwa vipigo [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Man City tupeni kombe letu mapema tu hii UEFA ya kwetu
THE CITIZEN 🤍🤍🤍🤍🤍🤍
Hz mbwembwe zinaishaga baadae tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ni salamu kwa vigenge flani flani hivi mwenye sikio na asikie.
Hii partnership ya Akanji na Dias nimeikubali, wanakichafua kisenge.
Akanji na dias kwa sasa wana chemistry nzuri sana kwenye center back, Ake hana mpinzani kule kushoto kwa sasa, kule kulia nadhani pep asipende sana kumtumia stones japo Jana stones kawa na performance ya hali ya juu, walker ndio mtu sahihi zaidi hasa tukicheza na timu zinazotegemea wide areas.