Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Ni Bora mjiondoe mapema kuliko kipigo mtakachokutanacho toka kwa Bavarian Bayern kama mnabisha waulize barcenyeto na arsenyeto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naiamini timu niliyo nayo na historia ipo kwa kuvunjwa au kuendeleza hivyo najua huwez kuwa mtu wa mpira ukamshambulia mtu wa mpiraUkomae kiume mbele ya buyern munich home and away ......
Hata ukipita ukutana na real Madrid home au cheslea home and away ,,hizo zote ni team zenye histroria kubwa san CL ,yaan wanauzoefu ambao sio wa nchii hii [emoji23][emoji23]
CL sometimes history inacheza kama hujui ...
Unaleta hisia hapa kwenye football...
Labda maajabu yafanyike ....
Inawezekana amekata tamaa ila tumkumbushe kuwa mpira sio fikira ni matokea ya maamzi ya timu bila kujali una ukubwa ganiHii ni footbal brother, yeyote anapigwa acha kuandaa matokeo mfukoni.
Hii sio barcenyeto wala arsenyeto.Ni Bora mjiondoe mapema kuliko kipigo mtakachokutanacho toka kwa Bavarian Bayern kama mnabisha waulize barcenyeto na arsenyeto
Kwa sisi wanaume tuna msemo unao sema napambana ili niashi ndoto yanguHio April tuna game nyingi Tena kubwa
Vs Liverpool
Vs arsenal
Vs buyern munich home
Vs buyern munich away
Team yetu mnaijua kabisa kwenye CL ilivo tia maji tia maji [emoji23][emoji23]
PL is there guys tufocus huko ...
Mfupa mgumu sana kwa Pep....ila atakayepita huenda akacheza fainali.Pep akituliza kichwa buyern tunaweza kuwasuprise ...
Uzuri team yetu this time Haiko favourite kabisa ...
Tukipewaga mateam mepesi ndio tunakuwa favorite na kujisahau ,tunatolewa kirahisi mnoo ...
Naona chelsea kama anaweza kufanya maajabu hivi.Madrid naona anataka kuzoea team za uingereza ...
Mfupa alioshindwa Liverpool Sasa anapewa Chelsea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji848]Sijui kama sheria za UEFA zitamruhusu cancelo acheza game yetu ....
Cancelo kacheza game zote za group stage CL na city ....
Hapo tukaze buti kwelikweli.Tukiweza kumtoa bayern, hapo madrid au chelsea hawana chao, shughuli inakuja tena kwa napoli final maana ile route yao sioni wa kumzuia.
Hiyo sheria UEFA walishaifutaSijui kama sheria za UEFA zitamruhusu cancelo acheza game yetu ....
Cancelo kacheza game zote za group stage CL na city ....
Vinn anakuja kumpa challenge pep ...Tuachane na habari za bayern kwasasa, Tuconcentrate kwenye mchezo wa kesho tuko na burnley pale etihad kwenye robo fainali ya FA.
Nimewaona.. Nategemea tough game kutoka kwa burnley kwaiyo hatutakiwi kuingia kizembezembe, tuwapelekee moto.Vinn anakuja kumpa challenge pep ...
Burnely sio wanyonge kiivo ,anatembeza kichapo huko championship....
Chali angu uko na madrid halafu unatuletea habari za chemistry humu!Nyie mambanga mwisho wenu ndio umefika. Uefa ina wenyewe, hamuna chemistry nzuri na hili kombe, Bayern Munich atawalala