Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utoe rushwa UEFA ,?? Wwe ni mwehu kweli
.hii draw ni fixed kudadekii [emoji23]View attachment 2555298
Chelseafc ni timu yenye bahati sana kwenye mashindano haya sitashangaa kwa lolote litakalo tokea.Naona chelsea kama anaweza kufanya maajabu hivi.
Kumbe mpira ndio huwa unaangaliwa hivi siku hizi?Akanji hawezi make hata sub Bayern Munchen lkn ndiyo panga pangua wa City
Vincent kompany naona ana DNA za pep tactically, style yao ya uchezaji inafanana na yetu namna wanavyofanya ball rotation & retention, game dominance n.k isipokuwa tu wao wanacheza fast paced football.Tuachane na habari za bayern kwasasa, Tuconcentrate kwenye mchezo wa kesho tuko na burnley pale etihad kwenye robo fainali ya FA.
Pep aweke full mkoko hili kombe sio la kuachia maana hayo mengine hayaeleweki.Vincent kompany naona ana DNA za pep tactically, style yao ya uchezaji inafanana na yetu namna wanavyofanya ball rotation & retention, game dominance n.k isipokuwa tu wao wanacheza fast paced football.
Beki wao wa kulia, Conor Roberts huwa anacheza inverted role (anaingia kwenye midfield) kama ambavyo huwa anafanya Walker,Rico au Stones pale city.
Flow ya mipira kutokea nyuma kwenda mbele wanaifanya kwa uharaka sana na kwa accuracy ya hali ya juu, nimejikuta navutiwa kuwaangalia burnley pale championship, nategemea mchezo mzuri sana na wenye ushindani leo.
Pep vs Kompany.
Mentor Vs disciple.
Bayern anapigika vizuri tu, tujiamini.Kama mwaka Jana Villarreal waliwatoa buyern ,Tena buyern ya moto ....
Pep anampigia chapuo kompany kuwa kocha wa city baada yake.Vincent kompany naona ana DNA za pep tactically, style yao ya uchezaji inafanana na yetu namna wanavyofanya ball rotation & retention, game dominance n.k isipokuwa tu wao wanacheza fast paced football.
Beki wao wa kulia, Conor Roberts huwa anacheza inverted role (anaingia kwenye midfield) kama ambavyo huwa anafanya Walker,Rico au Stones pale city.
Flow ya mipira kutokea nyuma kwenda mbele wanaifanya kwa uharaka sana na kwa accuracy ya hali ya juu, nimejikuta navutiwa kuwaangalia burnley pale championship, nategemea mchezo mzuri sana na wenye ushindani leo.
Pep vs Kompany.
Mentor Vs disciple.
Nlifikiri kalvin ataanza leo.Leo tunaanza hivi.
Ortega
Walker
Laporte
Dias
Lewis
Rodri
KDB
Mahrez
Foden
Alvarez
Haaland
Nafikiri hili kombe pep hataki kulitoa sadaka, wacha tuone.Nlifikiri kalvin ataanza leo.