The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kyle Walker won't face criminal charges after he allegedly flashed at woman in a Wilmslow bar earlier this month.
 
City players who have been called up to their national teams.

Aymeric Laporte, Rodri (Spain)

Kevin De Bruyne( Belgium)

Phil Foden, Jack Grealish, kalvin philips, John Stones, Kyle Walker (England)

Nathan Ake (Nerdherland)

Manuel Akanji (Switzerland)

Erling Haaland (Norway)

Riyad Mahrez (Algeria)

Ederson (Brazil)

Julian Alvarez, Maximo Perrone (Argentina)

Joao Cancelo, Ruben Dias, Bernado Silva (Portugal)

Alex Robertson (Australia)

James Trafford, Rico Lewis,Cole Palmer,Tommy Doyle,James McAtee (England U21)

Sergio Gomez (spain U21)

Adedire Mebude, Lewis Florini, Cieran Slicker (Scotland U21)
 
Tuachane na habari za bayern kwasasa, Tuconcentrate kwenye mchezo wa kesho tuko na burnley pale etihad kwenye robo fainali ya FA.
Vincent kompany naona ana DNA za pep tactically, style yao ya uchezaji inafanana na yetu namna wanavyofanya ball rotation & retention, game dominance n.k isipokuwa tu wao wanacheza fast paced football.

Beki wao wa kulia, Conor Roberts huwa anacheza inverted role (anaingia kwenye midfield) kama ambavyo huwa anafanya Walker,Rico au Stones pale city.

Flow ya mipira kutokea nyuma kwenda mbele wanaifanya kwa uharaka sana na kwa accuracy ya hali ya juu, nimejikuta navutiwa kuwaangalia burnley pale championship, nategemea mchezo mzuri sana na wenye ushindani leo.

Pep vs Kompany.

Mentor Vs disciple.
 
Pep aweke full mkoko hili kombe sio la kuachia maana hayo mengine hayaeleweki.
 
Vincent kompany naona ana DNA za pep tactically, style yao ya uchezaji inafanana na yetu namna wanavyofanya ball rotation & retention, game dominance n.k isipokuwa tu wao wanacheza fast paced football.

Beki wao wa kulia, Conor Roberts huwa anacheza inverted role (anaingia kwenye midfield) kama ambavyo huwa anafanya Walker,Rico au Stones pale city.

Flow ya mipira kutokea nyuma kwenda mbele wanaifanya kwa uharaka sana na kwa accuracy ya hali ya juu, nimejikuta navutiwa kuwaangalia burnley pale championship, nategemea mchezo mzuri sana na wenye ushindani leo.

Pep vs Kompany.

Mentor Vs disciple.
Pep anampigia chapuo kompany kuwa kocha wa city baada yake.
 
It's game time.

Man City vs Burnley.

Tumalizane nao hawa japo inaweza ikawa na ugumu ila ushindi ni palapale.

City 2:1 Burnley
 
Leo tunaanza hivi.

Ortega
Walker
Laporte
Dias
Lewis
Rodri
KDB
Mahrez
Foden
Alvarez
Haaland
 
Dah leo nmebanana kinoma game sitoicheki, ntakuwa nachungulia chungulia matokeo tu.
 
Back
Top Bottom