Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Leo natama nyuma stone asiwepo kabisaLiverpool mechi ya kwanza walitufunga sababu ya kukosekana utulivu pale nyuma, Akanji ile game alikua hana confidence kabisa, alikua anafanya makosa mara kwa mara.
Kumkosa Foden leo ni pengo kubwa sababu style yake ya uchezaji inafaa kabisa kucheza na mtu kama Alvarez (ana uwezekano mkubwa wa kuanza).
Alvarez leo hawezi kufanya physical battle na Van Dijk ama Konate hivyo tutegemee kumuona akishuka chini kuja kufanya link up na midfield na kutengeneza nafasi kwa ajili ya mawinga kushambulia.
Hii ingefanya kazi vizuri zaidi kama tungekuwa na winga ambaye yuko direct anayeingia ndani ya box kwenda ku exploit space Kama Foden.
Mahrez na Grealish huwa wanacheza pembeni tu muda mwingi.
Lapote akanji walker na lews na katikati lodri benardo de brn pembeni awepo mahalez na mwingne awepo gudgan mbele asimame alvares hii gemu mapema tunashinda