The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Flano , kwa niaba ya mashabiki wenzangu wa city, tunawaomba radhi mashabiki wote wa nyumbu kwa kushindwa kukamilisha kazi mliyotutuma ya kuwalipia zile goli 7.

Tumejitahidi kadri ya uwezo wetu lakini imeshindikana.

Tunawaomba mpokee hiki kidogo tulichopatà huku tukiomba msamaha kwa kuwaangusha.
Aisee mbavu sina.
 
Pumbaaf...vijitu vinakuja kutuchafulia uzi dakika ya 20.

Wameshatafuta vichaka vya kukimbilia.
 
Kibwengo anayefata ni Southampton,, huyu atatueleza ilikuaje akatupiga carabao.
 
20230401_164229.jpg
1/4/2023 siku ya kubwa jinga
 
Heat map ya grealish inaonyesha leo alitumia muda mwingi kwenye box la Liverpool na sio pembeni kama tulivyomzoea.
 
Pep Guardiola has become the fastest coaçh to record 100 home wins. He has done it in 128 matches.

The former record holder, Arsene Wenger did it in 139 matches.
 
il pep ,ile scene kdb kafunga then wachezaji wa Liverpool Wana fanya warm up pembeni akawa anashangilia anawapa mkono [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baada ya assist ya jana, Riyad Mahrez amekuwa mchezaji wa kiafrika anayeongoza kwa assists katika historia ya Premier league.
 
Kama kawaida kwa mechi za liverpool na man city, bus la liverpool limeshambuliwa wakati likiondoka etihad.
 
il pep ,ile scene kdb kafunga then wachezaji wa Liverpool Wana fanya warm up pembeni akawa anashangilia anawapa mkono [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lile goli la alvarez akashangilia mbele tsimikas.
 
Back
Top Bottom