Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Tunamchapa saton kesho kutwa ,then tunasubili Liverpool amshike shat arsenal....draw tu inatosha ,kaz tutaenda kuimaliza wenyewe ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahNawaambia hivi, spirit tutakayoenda nayo kuchukua 3 points dhidi ya Liverpool ndio spirit hiyo hiyo tutakuja nayo Etihad..
Foden atawakosa bayern asee.Haaland karudi mazoezini, anaweza kuwa available kwa ajili ya southampton.
Hatuwez kumaliza kazi bila arsenal kupigwa na liva hata kama tukimpiga.Tunamchapa saton kesho kutwa ,then tunasubili Liverpool amshike shat arsenal....draw tu inatosha ,kaz tutaenda kuimaliza wenyewe ...
Cancelo Bado ni bonge la LB mzee ,...Hivi ilikuaje Cancelo akawa anamueka benchi Zinchenko?
Ilikuaje mkatuuzia Zinchenko kwa less than €40 mil?
Bado sijapata majibu ya haya maswali mpaka sasa.
At his peak, cancelo was an incredible full back.Hivi ilikuaje Cancelo akawa anamueka benchi Zinchenko?
Ilikuaje mkatuuzia Zinchenko kwa less than €40 mil?
Bado sijapata majibu ya haya maswali mpaka sasa.
Kikosi kilichofungwa na so'ton.Huyu soton game ya carabao walitujambisha kinoma.
Hawa jamaa hata msim uliopita hatukuwafunga hata mech moja, tulidroo zote.Kikosi kilichofungwa na so'ton.
alvarez
palmer gundogan foden
philips bernado
gomez akanji walker lewis
ortega
Makosa ya ortega, Philips na gomez ndio yalitukosti.
Yap, baada ya OP wiki 2 zilizopita walisema wiki 2 mpaka 3 atakuwa nje kwaiyo anaweza kuanza training kuanzia week ijayo.Foden atawakosa bayern asee.
Not this time.Huyu soton game ya carabao walitujambisha kinoma.
Walitufunga goli mbili safi kabisa kiulain ,...Huyu soton game ya carabao walitujambisha kinoma.
Soton huwa wanabasi lao moja matata sana wakicheza na city.Walitufunga goli mbili safi kabisa kiulain ,...
Kiufupi walituweza ile game ,niliangalia dakika ya 1 mpaka 90 ,waliturn up kweli kweli ....
Najua pep lazima kajipanga this time ,kashasema kabisa tukipoteza hata game Moja means tumejitoa kwenye mbio za ubingwa ..
Wale ni kuanza kuwapelekea pumzi ya moto kuanzia sekunde ya kwanza.Soton huwa wanabasi lao moja matata sana wakicheza na city.
Yap,alizaliwa kipindi mama yake akiwa anafanya kazi kwenye kampuni la kibelgiji pale burundi.Hivi kumbe KDB kazaliwa burundi!!