The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tunamchapa saton kesho kutwa ,then tunasubili Liverpool amshike shat arsenal....draw tu inatosha ,kaz tutaenda kuimaliza wenyewe ...
 
Nawaambia hivi, spirit tutakayoenda nayo kuchukua 3 points dhidi ya Liverpool ndio spirit hiyo hiyo tutakuja nayo Etihad..
Hahahahah

Kwa liva mkija na mapepo na mizuka yenu yote labda mtapata droo ila kwa city hii iliyoamka na kuzaliwa kwa mara ya pili, city ya kugawa vipigo, city ya treble, hata saka aote mapembe na jesus avae kwato, siku hiyo tunawatandika ndani na nje ya uwanja.
 
Tunamchapa saton kesho kutwa ,then tunasubili Liverpool amshike shat arsenal....draw tu inatosha ,kaz tutaenda kuimaliza wenyewe ...
Hatuwez kumaliza kazi bila arsenal kupigwa na liva hata kama tukimpiga.

Tunaitaji arsenal adondoshe point 3 zote ndipo sisi tuje kupiga msumari wa mwisho.
Cha muhimu tu hizi game 10 zote tushinde.
 
Hivi ilikuaje Cancelo akawa anamueka benchi Zinchenko?

Ilikuaje mkatuuzia Zinchenko kwa less than €40 mil?

Bado sijapata majibu ya haya maswali mpaka sasa.
 
Hivi ilikuaje Cancelo akawa anamueka benchi Zinchenko?

Ilikuaje mkatuuzia Zinchenko kwa less than €40 mil?

Bado sijapata majibu ya haya maswali mpaka sasa.
Cancelo Bado ni bonge la LB mzee ,...

Zinchenko Bado anavitu vya kujifunza Kwa cancelo ,cross za cancelo zinchenko hajafikia hata kidogo ...

Zinchenko ni mzuri akiwa na mpira ,ile kuingia kati kama midfielders kupush mashambulizi ...

,Cancelo ni LB at the same time ni bonge la winger ...
 
Hivi ilikuaje Cancelo akawa anamueka benchi Zinchenko?

Ilikuaje mkatuuzia Zinchenko kwa less than €40 mil?

Bado sijapata majibu ya haya maswali mpaka sasa.
At his peak, cancelo was an incredible full back.

-Cancelo is more pressure resistant than zinny.

-Cancelo is slightly solid defensively than zinny

-both are good passers & ball movers.

Zinny hawezi kumuweka benchi cancelo at his peak.
 
Huyu soton game ya carabao walitujambisha kinoma.
Kikosi kilichofungwa na so'ton.

alvarez

palmer gundogan foden

philips bernado

gomez akanji walker lewis

ortega

Makosa ya ortega, Philips na gomez ndio yalitukosti.
 
Kikosi kilichofungwa na so'ton.

alvarez

palmer gundogan foden

philips bernado

gomez akanji walker lewis

ortega

Makosa ya ortega, Philips na gomez ndio yalitukosti.
Hawa jamaa hata msim uliopita hatukuwafunga hata mech moja, tulidroo zote.
 
Pep Guardiola has confirmed Haaland will be "ready" against the saints.

Pep "he has train really well in the last two days, he will be ready for it"
 
Huyu soton game ya carabao walitujambisha kinoma.
Walitufunga goli mbili safi kabisa kiulain ,...

Kiufupi walituweza ile game ,niliangalia dakika ya 1 mpaka 90 ,waliturn up kweli kweli ....

Najua pep lazima kajipanga this time ,kashasema kabisa tukipoteza hata game Moja means tumejitoa kwenye mbio za ubingwa ..
 
Soton huwa wanabasi lao moja matata sana wakicheza na city.
 
Ukifatilia mechi za city na soton recently utagundua soton wamekuwa wakitumia approach ya kutupress kwenye dakika 15-20 za mwanzo na kutunyima utulivu.
Baada ya hapo huwa linafata basi la maana hasa wakifanikiwa kupata goli ndani ya hizo dakika.

Natumaini matumizi ya stones kwenye midfield sambamba na rodri itasaidia kuongeza ball holding capacity na game control in case
wakiamua kutupress na kutarget midfield.
 
Back
Top Bottom