United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Nakubali jamaa Kawa bonge la mchezaji afu now anajiamini sana pep anauwezo mkubwa sana wa kupandisha Graf ya mchezajiKazi anayoipiga Nathan Ake msimu huu si ya kitoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubali jamaa Kawa bonge la mchezaji afu now anajiamini sana pep anauwezo mkubwa sana wa kupandisha Graf ya mchezajiKazi anayoipiga Nathan Ake msimu huu si ya kitoto
Tunaongelea game ya leo, hao miamba huoni walivyosimama kiume hapo nyuma? au hata game huangalii.Goli moja lisikufanye usahau matatizo ya man city
[emoji1787]Naona sura za mashabiki wengi wa Man city ni wachina, Thailand, Korea, nchi zilizochelewa kuujua mpira.
Hapa hakuna cha GG kalale tu.[emoji23][emoji23]Nyie pimbi mna kaza nini watu tume stake GG ,si muachie