The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Watu walikuwa wanataka Mahrez aanze badala ya silva ....

But silva prove them wrong
mancity-20230412-0001.jpg
 
Jipe moyo best team in the world [emoji289] recently is Manchester City....so you have to think be you provoke....do you want to chase out the holy spirit in me..
Bila UCL,Super cup,World club cup unawezaje kujiita best team bila aibu
 
Hongereni Man City LKN tie bado haija isha.
Bayern wana uwezo wa kufunga bao nyingi nyumbani kwao
Mkaze sana kuvuka
 
Kama tap in ni simple kmuulize nunez ,...

Au kawaulize buyern wamevosurubiwa dakika 90 wamekosa hata tap in space [emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91]
Ndiomaana likaitwa jini zee la kuibia yaani ndo linaongoza kwa offside nyingi dunia nzima

Vilevile halina goli hata 3 alizofunga kutoka nje ya 18 yard box yaani lishukuru linatafuniwa ni kumeza tu shwaaa ila magoli ya mbali kama Lewy,CR7,Rooney na Aguero haliwezi[emoji706][emoji706]
 
Hongereni Man City LKN tie bado haija isha.
Bayern wana uwezo wa kufunga bao nyingi nyumbani kwao
Mkaze sana kuvuka
Bayern hana uwezo wa kufunga goli 3 city labda kama umeanza kufatilia mpira juzi...!!

TT sio kocha usimuamini jobless yaani utamuanzshaje benchi mchezaji kama Cancelo,Mane,Muller??
 
Ndiomaana likaitwa jini zee la kuibia yaani ndo linaongoza kwa offside nyingi dunia nzima

Vilevile halina goli hata 3 alizofunga kutoka nje ya 18 yard box yaani lishukuru linatafuniwa ni kumeza tu shwaaa ila magoli ya mbali kama Lewy,CR7,Rooney na Aguero haliwezi[emoji706][emoji706]
Sawa kenge
 
Do goal(s) scored outside the box count as 3? Appreciate the lad he is a goal machine maybe ready to continue the Messi/Ronaldo Legacy alongside Mbappe
 
Mkuu na Kenge ulianzisha uzi wa tuchel kusema bayern ana vinasaba vya ushindi leo nini kimempsta
 
Maskini bayern.

Ila wasione tumewaonea maana ndugu zao leipzig dhahama waliyokutana nayo ni wanijua wenyewe.
 
Bayern hana uwezo wa kufunga goli 3 city labda kama umeanza kufatilia mpira juzi...!!

TT sio kocha usimuamini jobless yaani utamuanzshaje benchi mchezaji kama Cancelo,Mane,Muller??

Pale ndo kaonyesha hamnazo hasa kwa Muller na Mane
 
Back
Top Bottom