The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ratiba ya msimu mpya wa EPL 2023/24 inatarajiwa kutolewa tarehe 15 mwezi July.

Msimu mpya EPL 2023/24 utaanza tarehe 12 august 2023 na kuisha 19 may 2024.
 
Uwanja wa Etihad umechaguliwa kuwa miongoni mwa viwanja vitakavyotumika kwa ajili ya mashindano ya EURO mwaka 2028 iwapo Uingereza na Ireland watakubaliwa ombi lao la kuandaa mashindano hayo.

Viwanja vingine vilivyotajwa ni:-

-St. James park
-Goodison park
-Hampden park
-Dublin arena
-Wembley
-Casement park
-Wales national stadium
-Villa park
-Tottenham hotspur stadium.
 
Darren England has been appointed the referee for MANCHESTER CITY VS LEICESTER CITY.
 
Only Phil foden is the confirmed absentee for the clash against leicester city.

Kevin De Bruyne is the only doubt.
 
According to the reports from The Sun, Phil Foden is expected to start bike and strength work this week with city looking to ease the winger back ahead of the crunch clash against Arsenal.

(CityXtra)
 
Gundogan ndio anatuacha hivyo.

Barcelona wako kwenye hatua za mwisho kwaajili ya kumpa mkataba wa miaka miwili pale barca.

Personal terms agreed.
 
Gundogan ndio anatuacha hivyo.

Barcelona wako kwenye hatua za mwisho kwaajili ya kumpa mkataba wa miaka miwili pale barca.

Personal terms agreed.
Dah super gundo.
Ila sio mbaya, tukomae deal la bellingham liva wamejitoa kabaki real madrid.
 
Dah super gundo.
Ila sio mbaya, tukomae deal la bellingham liva wamejitoa kabaki real madrid.
Bellingham kuondoka pale dortmund dirisha lijalo ni ngumu maana hiyo price tag ni pasua kichwa, japo unaweza ukasema financially, €110 million si kitu kwa city lakini kwa mtazamo wangu, hiyo pesa tunaweza tukapata viungo wengine 2 wazuri tu.
 
Gundogan ndio anatuacha hivyo.

Barcelona wako kwenye hatua za mwisho kwaajili ya kumpa mkataba wa miaka miwili pale barca.

Personal terms agreed.
Bernado silva pia anaweza kuondoka kama akipata timu itakayolipa pesa itakayopendekezwa.

Kalvin phillips wanamtaka aston villa, west ham na leeds.

Pale kwenye kiungo itahitajika pesa ya kutosha.
 
Bernado silva pia anaweza kuondoka kama akipata timu itakayolipa pesa itakayopendekezwa.

Kalvin phillips wanamtaka aston villa, west ham na leeds.

Pale kwenye kiungo itahitajika pesa ya kutosha.
Nmeona tumeanza kumfatilia Kelphrine Thuram wa Nice, ni DM.
Huyu nadhani ni endapo kalvin atauzwa.
 
Back
Top Bottom