Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka matako tu rehaniMwacity upara fc mkipata kombe lolote msimu huu naacha kutumia jf
Dah super gundo.Gundogan ndio anatuacha hivyo.
Barcelona wako kwenye hatua za mwisho kwaajili ya kumpa mkataba wa miaka miwili pale barca.
Personal terms agreed.
Owa chali angu imekuaje tena?
Weka matako tu rehani
Bellingham kuondoka pale dortmund dirisha lijalo ni ngumu maana hiyo price tag ni pasua kichwa, japo unaweza ukasema financially, €110 million si kitu kwa city lakini kwa mtazamo wangu, hiyo pesa tunaweza tukapata viungo wengine 2 wazuri tu.Dah super gundo.
Ila sio mbaya, tukomae deal la bellingham liva wamejitoa kabaki real madrid.
Hahaha naona umekuja kivingine.Mwacity fc mpo
Comeback pale Arrianz ARENA mtaomba poo
Bernado silva pia anaweza kuondoka kama akipata timu itakayolipa pesa itakayopendekezwa.Gundogan ndio anatuacha hivyo.
Barcelona wako kwenye hatua za mwisho kwaajili ya kumpa mkataba wa miaka miwili pale barca.
Personal terms agreed.
Nmeona tumeanza kumfatilia Kelphrine Thuram wa Nice, ni DM.Bernado silva pia anaweza kuondoka kama akipata timu itakayolipa pesa itakayopendekezwa.
Kalvin phillips wanamtaka aston villa, west ham na leeds.
Pale kwenye kiungo itahitajika pesa ya kutosha.
Dili la Gabriel veiga limefikia wapi?Nmeona tumeanza kumfatilia Kelphrine Thuram wa Nice, ni DM.
Huyu nadhani ni endapo kalvin atauzwa.
Hilo sielewi linaendeleaje.Dili la Gabriel veiga limefikia wapi?
Veiga tumepeleka bid ya €40 million, bado hakuna taarifa kama imepokelewa au la.Dili la Gabriel veiga limefikia wapi?