The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

tukishinda mechi zote zilizobaki ubingwa ni 100% hakuna cha GD wala bibi yake na GD.
Sasa hivi hata 1-0 inatosha cha muhimu point 3 zisiponyoke.
 
Ila Gomez na palmer hawa madogo amna kitu aisee, huwa najiuliza kwanini palmer aliingizwa first team halafu McAtee akapelekwa Sheffield.
James McAtee yuko vizuri kuliko palmer.
Sergio gomez hana confidence, ile game ya carabao ndio aliniacha hoi, palmer at least anajitahidi.
McAtee ana experience kubwa kuliko palmer hope atarudishwa msimu ujao.
 
Sergio gomez hana confidence, ile game ya carabao ndio aliniacha hoi, palmer at least anajitahidi.
McAtee ana experience kubwa kuliko palmer hope atarudishwa msimu ujao.
McAtee deal lake la mkopo linaisha mwisho wa msimu huu, summer anarudi, pamoja na tommy doyle.
 
Pep anasema tukio la ugomvi kati ya Sane na Mane inaweza kuleta motisha kwa Bayern Munich kuelekea mchezo wa jumatano.

Suspension ya Mane imeshaisha na atakuwepo hiyo siku.
 
Back
Top Bottom