The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mechi ya Arsenal ni must win kama kweli tuna ndoto za treble.

Ukiangalia ratiba yetu namna ilivyo tight (epl +ucl) utagundua kuna uwezekano mkubwa wa kudondosha points kwenye ligi.
Tukimfunga arsenal atleast kutakuwa na room for errors maana hata ikitokea kuna mechi tutapigwa au kudraw, tunakua bado tuna nafasi ya kurudi on top of the table sababu still tuna game 2 za viporo.

Arsenal akipata hata draw tu itakua ni wakati mgumu kwetu maana itatulazimu tushinde mechi zote zilizobaki, kitu ambacho ni kigumu kwa kuzingatia namna ratiba yetu ilivyo.
Tutapoteza point Kwa team nyingine lakin sio arsenal mkuu ....

Huyu arsenal tunaenda kumpa kichapo cha mbwa Koko ....
 
Mechi ya Arsenal ni must win kama kweli tuna ndoto za treble.

Ukiangalia ratiba yetu namna ilivyo tight (epl +ucl) utagundua kuna uwezekano mkubwa wa kudondosha points kwenye ligi.
Tukimfunga arsenal atleast kutakuwa na room for errors maana hata ikitokea kuna mechi tutapigwa au kudraw, tunakua bado tuna nafasi ya kurudi on top of the table sababu still tuna game 2 za viporo.

Arsenal akipata hata draw tu itakua ni wakati mgumu kwetu maana itatulazimu tushinde mechi zote zilizobaki, kitu ambacho ni kigumu kwa kuzingatia namna ratiba yetu ilivyo.
Namuamini kipara kwenye mechi za namna hii, arteta pamoja na team yake bado experience ni ndogo sana.
Arsenal hata draw hapati.
 
Ripoti zimeibuka zinadai Cancelo ilikua aende Barcelona ila pep aliblock deal dakika za mwisho akampeleka Bayern.

Hiyo sio mara ya kwanza pep kuwafanyia barca hivyo, alishablock deal la sterling pia kisha kamuuza chelsea.
 
Ake ataikosa pia game ya Arsenal.

Mpaka sasa bado haijatolewa taarifa atakua nje kwa muda gani.
 
City tunaogopwa sana kwa sasa mitaani kuna sauti zina sikika zikisema, City mabingwa wa Epl & Cl.nami kwa mbaali naona kama ni kweli na kwakuanzia ngoja nione game ya kesho na hawa washika migobole.
 
CL hapo inabidi tukaze kwelikweli, tukimfurumusha madrid fainali hatuna kazi sana.
 
Wiki hii, FA na serikali ya uingereza watafanya mazungumzo kuhusu 'uwezekano' wa kubadilisha muda wa mechi ya fainali kati ya Man united na man city kwa sababu za kilojistiki.
 
Micah Richards anasema yeye angekua pep kesho angemuanzisha walker ili kudeal na martinelli kwenye transitions.
We played against bayern ambayo pia inawachezaji wenye pace na tulidefend vizuri tu bila walker.

Sioni pep akifanya kama Micah anavyowaza.
My concern ni kule kushoto ambako tunategemea atacheza laporte, will he pocket Saka like Ake did?
 
Msimu huu laporte kachemsha kwenye fullback, nadhani hata saka atakua amefurahi Ake kuumia.
 
Muda mfupi ujao pep atakuwa kwenye press conference, ngoja tusubiri updates zozote kuhusu Ake.
 
Back
Top Bottom