The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Usiku wa deni haukawii, wavulana wa arteta leo watakuja kujaribu kufufua matumaini yao ya kuchukua ubingwa wa EPL.

Wanakuja kukutana na wanaume wababe wa hizi kazi na mabingwa watetezi, the Cityzens ambao wana kiu ya kutetea taji kwa mara ya tatu mfululizo.

NB: Etihad kila goti litapigwa na hii haitokiukwa.
Kimahesabu hii game arsenal anaitaka zaidi kuliko tunavyoitaka sisi.

Leo watakuja kutafuta ushindi tu, watakuwa aggressive sana ila defence yetu kwasasa iko settled naamin itahimili pressure ya arsenal.
Tunahitaji kuwa clinical kutumia nafasi tunazopata kama tulivyofanya game iliyopita maana kuna uwezekano mkubwa sana arsenal watautawala mchezo.
 
Ruben dias on man city current form.

"It comes from ambitions, ambition for us all. Ambition is one of our characteristics"

"We are very ambitious and when this time comes, no one hides, everyone shows up and does their best to be there for the team"
 
Kimahesabu hii game arsenal anaitaka zaidi kuliko tunavyoitaka sisi.

Leo watakuja kutafuta ushindi tu, watakuwa aggressive sana ila defence yetu kwasasa iko settled naamin itahimili pressure ya arsenal.
Tunahitaji kuwa clinical kutumia nafasi tunazopata kama tulivyofanya game iliyopita maana kuna uwezekano mkubwa sana arsenal watautawala mchezo.
Kimahesabu kwa maana ya ubingwa wa epl ipo hivyo ila kwa kuzingatia ratiba yetu ilivyo, sisi inabidi tushinde hii mechi ili kujiweka nafasi nzuri zaidi hata kama ikitokea kuna mechi tutajikwaa hapo mbele, Ratiba yetu sio rafiki lolote laweza kutokea.
 
Mahrez aling'aa kwenye game ya sheffield ila kulingana na threat ya winga za arsenal nadhan pep ataanza na bernado kwenye right wing ili kusaidia awe anashuka chini kusaidiana na akanji/walker. Mahrez huwa hawezi kufanya hiyo kazi.

Nategemea laporte ataanza pia kama replacement ya Ake iwapo pep atataka kucheza kwa structure ile ile aliyoitumia katika mechi kadhaa zilizopita (back three).

Rico lewis kwenye back three itakua ni risk.
 
Aggressiveness ya arsenal ndio itawaua, wao watakuja na pressure ya kupata matokeo, sisi tutahitaji utulivu tu pale nyuma game tunaimaliza mapema.
 
Pep hawezi kubadili approach, kikosi leo ni kilekile ukiacha ake.

Grealish......Haaland......Bernado

Gundogan.......Rodrigo.....KDB

Laporte...Dias....Stones....Akanji

..._______Ederson
 
Hii game hata sisi tutakua aggressive pia, tutegemee mchezo wa kushambuliana kwa zamu na transitions za kutosha.
 
KDB has said that his best perfomance ever in city shirt was against Arsenal in 2019/20 season.

Leo yanaenda kujirudia.
 
Pep hawezi kubadili approach, kikosi leo ni kilekile ukiacha ake.

Grealish......Haaland......Bernado

Gundogan.......Rodrigo.....KDB

Laporte...Dias....Stones....Akanji

..._______Ederson
Mahrez mechi iliopita aliuwasha sana nadhani leo pep ataanza na Mahrez badala ya Bernado
 
Kwa perfomance ya mahrez, pep saivi atakua anakuna upara tu nani amuanzishe.

Wana ufanano kwenye baadhi ya maeneo (wote ni ball carriers) ila kulingana na approach za pep mwenyewe lazima kuna mmoja anafiti zaidi kwenye approach fulan kuliko mwingine.
Bernado ni mzuri kuliko mahrez linapokuja suala la collective defending na anacover space kubwa kuliko mahrez.

Mahrez ni mzuri kuliko bernado kwenye kufanya transitions kwaiyo hapo ni pep mwenyewe itategemea atakuja na approach gani.
 
IMG_3139.jpg
 
Back
Top Bottom