Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akanji huwa anacheza kulia, leo kawekwa kushoto.Akanji sik akiwa vzr game ikamkubal utampenda mwnyw.
Sema lineup ni nzr.. Hawa wetu tupambane tuwafunge tuzid wakalia makaa ya moto kwl kwl.
Huu upande wa kushoto bado nina wasi wasi nao ngoja tuone Akanji anaweza kutushangazaAkanji huwa anacheza kulia, leo kawekwa kushoto.
Kumbe Sakha mnamuogopa eeh?Akanji jitu kazi leo saka hatembei.
The cityzens here we go.
Pepo la hofu lishindwe Citizens tupo na mbinu kama zote.Akanji na saka ....
Huu upande Nina wasiwasi nao ....
Game saa ngapi?Pepo la hofu lishindwe Citizens tupo na mbinu kama zote.