The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Fulham tuna makombe mengi kuliko Mwacity [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍
 
Hii game fulham wanacheza kwa tahadhari sana, inahitajika creative reinforcement nyuma ya mpira.
 
Tukitoka draw tumekwisha aseeee

😭😭😭😭😭😭😭
 
Hii game fulham wanacheza kwa tahadhari sana, inahitajika creative reinforcement nyuma ya mpira.
Pep kaingia na approach kama kwenye game ya arsenal, hakuna definite playmaker ndio nadhan kaanza na Alva.
 
Namna grealish na mahrez wanavyostretch backline ya fulham, naona alvarez ana goli jingine hapa sababu ndie anakua late arrival.
 
Mpaka mpewe penalty upara fc nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom