The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

IMG_3482.jpg

Moto huu apa
 
Erling haaland scored his first premier league goal against West ham back in August.
9 months later, It was also against West ham when he scored a record breaking premier league goal.
 
McAllister nae Yuko linked kwenda Liverpool ..tumebaki na covacic
 
Fernandinho late words to Pep.

"Thank you for everything, for me it was a big pleasure, you don't know how much I learned in this time.

"I'm going to tell you something that I didn't tell anyone before. You made me fall in love with football again"
 
Kalvin phillips tulimchukua kwa £ 45m, sasahivi ana £ 9m. [emoji1787]
 
Hapa kwa bellingham ni mtifuano mtupu.
Bellingham anapenda kwenda real madrid ila borrusia wanataka €150 milion ila madrid wameishia kwenye €120 milion.
Ripoti zinasema city tuko tayari kutoa hiyo €150m na mshahara mkubwa zaidi kuliko ambao madrid wanataka kumpa.
 
Back
Top Bottom