Mr Ubwabwa
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 375
- 283
Dah noma sana, bei yake sasahivi kazidiwa hadi na ile tuliyomchukulia maximo perrone.Kalvin phillips tulimchukua kwa £ 45m, sasahivi ana £ 9m. [emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah noma sana, bei yake sasahivi kazidiwa hadi na ile tuliyomchukulia maximo perrone.Kalvin phillips tulimchukua kwa £ 45m, sasahivi ana £ 9m. [emoji1787]
[emoji23][emoji23] mkuu kwani kila attacking midfielder lazima awe kama kdb?Huyo Bellingham ataweza kua kama KDB kweli ??
Kuwa kama KDB kivipi?Huyo Bellingham ataweza kua kama KDB kweli ??
In kalvin I believe.Kalvin phillips tulimchukua kwa £ 45m, sasahivi ana £ 9m. [emoji1787]
Kwahiyo pesa hata soton wakitaka wanamchukua kiulaini kabisa.In kalvin I believe.
[emoji23][emoji23] mkuu kwani kila attacking midfielder lazima awe kama
Madrid wanaelekea ku-finalize deal la bellingham.Hapa kwa bellingham ni mtifuano mtupu.
Bellingham anapenda kwenda real madrid ila borrusia wanataka €150 milion ila madrid wameishia kwenye €120 milion.
Ripoti zinasema city tuko tayari kutoa hiyo €150m na mshahara mkubwa zaidi kuliko ambao madrid wanataka kumpa.
HahahahKwahiyo pesa hata soton wakitaka wanamchukua kiulaini kabisa.
Wachezaji hawawezi kufanana uchezaji kwa 100% hata iweje, cha muhimu ni output ya mchezaji husika.itabidi tupate KDB mwingine copy
[emoji23][emoji23][emoji23]Kalvin phillips tulimchukua kwa £ 45m, sasahivi ana £ 9m. [emoji1787]
Mfumo umekuwa mgumu kwake ngoja tuone next season.Hahahah
Kalvin mwaka juzi tu hapa alikua hashikiki kabisa hasa kwenye euro lakini hali imebadilika.
Mimi bado nina imani nae, hatakiwi kuuzwa ana potential kubwa sana apewe muda tu.
Basics za pep zimegoma kumuingia, anaweza akaingia kwenye mfumo next season but ana uwezekano mkubwa wa kuuzwa summer.[emoji23][emoji23][emoji23]
Huu usajili umebackfire.
Zile injury za mwanzo wa msimu nafikiri ndio zilimtoa kwenye reli sababu hata maandalizi ya pre season aliyakosa, amekuja kurudi ligi imeshachanganya, kiufupi hajapata muda wa kutosha kuadapt mfumo, apewe muda hapo inabidi tukubaliane na Agustin kun AgueroBasics za pep zimegoma kumuingia, anaweza akaingia kwenye mfumo next season but ana uwezekano mkubwa wa kuuzwa summer.