The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hata wewe ungezaliwa 2000 ni nadra sana kuwa man utd , watu wanapenda kile kizuriii na kuzaliwa 2000 haimanishiii hawajuiii mpira ni sawa na wewe uzaliwe 1995 halafu mwaka 2018 ukawa shabiki arsenal liverpool or man utd tukuambie hauna uelewa wa mpira .. madogo wa 2000 wana haki ya kushabikia man city maana wamezaliwa wakaiona ni bora kama ilivyokuwa wewe na timu yako
Umemjibu vyema sana umuulize kwa nini yeye kashabikia Arsenal na si Newcastle sababu wakati huo ilikua moto anashangaa nini sisi kushabikia City
 
Hii timu ina mashabiki wasio na uelewa wowote kuhusu mpira

Wengi wao watoto wa 2000
Watoto wajuzi timu yao nzima wenye experience ya uefa final hawazidi 5 ....Wanataka kupambana na wahuni
Yani stones abebe uefa mbele ya rudiger come on bro unamuonea stones wawatu ...his isn't matured for this cup "War" apambane maybe na kina Everton

Oh wait everton kamfunga jana brighton na yupo kwa religation battle na atacheza na city on sunday home
Damn ...city trebles itakuwa chungu wasijisahau

TUPO HAPA KUWAJAZIA NZI KAMAWAO WANAVOWAJAZIA WATU KWA THREADS ZAO
 
Ubaya ni Madrid hua ana turn up akiwa away... Yani uko ndio anacheza kama yupo nyumbani...
Kitu kitakacho tokea huko etihad ni watajua zile 5 liva alikufaje wakati ule uwanja unajulikana una mapepo na mashetani
Yani warabu watasema hela za mafuta wanapozichimbiaga
 
Mnafanya makosa kutomfunga madrid home... Huko etihad atawa dharirisha wazee
 
Mara nyingine hii Grealish anainawapira jamani aaaah
 
Back
Top Bottom