Adipoz
JF-Expert Member
- Jan 24, 2023
- 527
- 459
hiyo ni mbuzi cup ama?Sisi kama madrid tunasema hatuna tunachowadai wachezaji kwani washamaliza kila kitu.. hivo tukutane fainali vs ac milan
Asante [emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo ni mbuzi cup ama?Sisi kama madrid tunasema hatuna tunachowadai wachezaji kwani washamaliza kila kitu.. hivo tukutane fainali vs ac milan
Asante [emoji120]
Mpira haupo hivyo brotherMan of the match ni Reuben Dias..
Hii inaonesha wazi City alizidiwa Hadi beki wake kawa man of the match..
Madrid wanaweza maliza kazi Etihad
hii gemu ilimuhitaji foden kubalance mizani kipind cha pili.. ila kipala as usual no sub😀Madrid sana composure ya hali ya juu sana, kuna mda tulikua tunacheza unaona kabisa hatuna utulivu kwenye Haya mashindano, kama bado tuna ugeni flani hivi.
Kwani benzema kafunga ngapi Leo, tuanzie hapo kwanzaKuna timu ime azima striker kutoka man utd ( Werghoust) wakampachika pale mbele leo wakidhani ata endeleza legacy yake yakutupia mabao "hat,trick" dhidi ya timu ndogo kina leeds
Kilichotokea....
Are you ready for etihad... Madrid aren't ready to see fire and strorm around the blue city... But that's going to be their own funeral hata pep analijua hilo
Ni swala la muda tu uefa 15th... loading
Dogo anazingua sana na pasi zake za ovyo zisizofika mpaka kachoma.Kamavinga namfananisha kama "predetor"
Huu ni utani au ushabiki at the highest order.Man of the match ni Reuben Dias..
Hii inaonesha wazi City alizidiwa Hadi beki wake kawa man of the match..
Madrid wanaweza maliza kazi Etihad