The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tunatakiwa kulinda vizuri tulichonacho, wasipate hata bao la kuwarudisha mchezoni, tunahitaji goli moja zaidi.
 
Ancelotti hana timu
Aki a Camavinga na Rodrygo wanaruka ruka na kujirusha rusha tu uwanjani
Baada ya hii game, Ancelotti atatimuliwa kazi
Hana timu? Nyie si ndio mlikua mnasema Madrid UEFA anakua mwingine mkasema hana Home wala away. Karibuni Etihad hapo ni machinjioni.
 
Just a summary for the first half
FB_IMG_1684353065806.jpg
 
Ancelotti hana timu
Aki a Camavinga na Rodrygo wanaruka ruka na kujirusha rusha tu uwanjani
Baada ya hii game, Ancelotti atatimuliwa kazi
Em kua na Akili japo kidogo, hawa City kila kocha utamlaumu kila mchezaji utamlaumu tu, wewe angalia mpira u-enjoy kaka.
 
Hawa wasomali wawili wa Real Madrid Millitao na Rodrygo leo hamna kitu.
GettyImages-1251960283Thumb.jpg

MilitaoMobile.jpg
 
Ancelotti hana timu
Aki a Camavinga na Rodrygo wanaruka ruka na kujirusha rusha tu uwanjani
Baada ya hii game, Ancelotti atatimuliwa kazi
Mlikuwa mnawasifu bernabeu wamekuja etyhad wamekutana na pin za Pep wanaoneka rojo 🤣🤣🤣kweli man city wameiva kuchukua uefa
 
Mahrez Mahrez foden foden hahahaha bernado anatoshaaa
Ila jamani kwa Real Madrid hadi kipenga cha mwisho hawatabiriki. Endapo Madrid atafunga goli kabla ya dakika ya 55 ikawa 2-1 patachimbika.
 
Tuwe makini tusije ku collapse mpira una maajabu huu, inabidi tuingie kutafuta mabao mengine ila kwa nidhamu.
 
Back
Top Bottom