Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo tunaoamini unaonaje game inavyoenda bado hawaamini City tu?Kuna watu bado wanaamini city anashinda hii gemu dah...
Sawa
Hana timu? Nyie si ndio mlikua mnasema Madrid UEFA anakua mwingine mkasema hana Home wala away. Karibuni Etihad hapo ni machinjioni.Ancelotti hana timu
Aki a Camavinga na Rodrygo wanaruka ruka na kujirusha rusha tu uwanjani
Baada ya hii game, Ancelotti atatimuliwa kazi
Em kua na Akili japo kidogo, hawa City kila kocha utamlaumu kila mchezaji utamlaumu tu, wewe angalia mpira u-enjoy kaka.Ancelotti hana timu
Aki a Camavinga na Rodrygo wanaruka ruka na kujirusha rusha tu uwanjani
Baada ya hii game, Ancelotti atatimuliwa kazi
hahaah! Achana nae! Nishamuuliza anaumia akiwa wapiTupo tunaoamini unaonaje game inavyoenda bado hawaamini City tu?
Mlikuwa mnawasifu bernabeu wamekuja etyhad wamekutana na pin za Pep wanaoneka rojo 🤣🤣🤣kweli man city wameiva kuchukua uefaAncelotti hana timu
Aki a Camavinga na Rodrygo wanaruka ruka na kujirusha rusha tu uwanjani
Baada ya hii game, Ancelotti atatimuliwa kazi
Ila jamani kwa Real Madrid hadi kipenga cha mwisho hawatabiriki. Endapo Madrid atafunga goli kabla ya dakika ya 55 ikawa 2-1 patachimbika.Mahrez Mahrez foden foden hahahaha bernado anatoshaaa
Walikua wamekariri eti Madrid anakua mwingine UEFA. Wanasahau walishinda kwa bahati last season. Leo wameyakanyaga.hahaah! Achana nae! Nishamuuliza anaumia akiwa wapi
The real definition of domination, demolition, annihilation. Pep is a genius.Hizi takwimu zinaogopesha sana.
Leo Madrid hana tofauti yoyote na nyumbu aiseee. View attachment 2625798View attachment 2625800