The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Pep is a fvcking genius. Don Carlo haamini moto aliopelekewa anakuna kichwa tu. Amuulize mzee Fergie alipata kitete mikono ikawa inatetemeka.
 
Walker the wall..
FB_IMG_16843567503390096.jpg
 
Weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!Mungu tunakushukuru na tunazidi kukuomba mwisho wetu uwe mzuri zaidi waaibishe adui zetu na utuandalie meza mbele ya watesi wetu.[emoji120]
 
Hao ndio man city, kama namuona aguero vile

Hakuna cha benzema, vinicius wala modric hahhaaaaaaaaa
 
Madrid ni overrated tu ....

Katubahatisha last season leo tumemnyooroshaa ...

Team haiwezi hata kupossess mpira ,inavizia counter attack kudadekii ...

Pigaaa mbwa Hao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom