Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi Lewandoski angeshinda 2021.Yaani ukipambanishwa na Messi aliyeshinda kombe la dunia na kuwa mchezaji bora wa kombe la dunia,you are done.Lewandoski alishinda kama Haaland tu ,sema akapambanishwa na Messi aliyetoka kushinda Copa America .Wanaangalia na personal accolades pia, sio makombe tu
Kama huwezi utani kashabikie rede. Sikujui, hunijui. Tuheshimiane tafadhali.Muite na mama ako aje kuchangia
Mkuu mwaka 2021 lewandowski alishinda hiviBasi Lewandoski angeshinda 2021.Yaani ukipambanishwa na Messi aliyeshinda kombe la dunia na kuwa mchezaji bora wa kombe la dunia,you are done.Lewandoski alishinda kama Haaland tu ,sema akapambanishwa na Messi aliyetoka kushinda Copa America .
Umesahau alishinda, UEFA champions ligue ,Kiatu ulaya,kiatu UEFA. SHEREHE ZA BALLON D'OR ZILIFANYIKA 2021Mkuu mwaka 2021 lewandowski alishinda hivi
1. Bundesliga
2. Bundesliga golden boot
Messi alishinda hivi
1. Copa del rey
2. La liga top scorer
3. Copa america
4. Copa america top scorer
5. Copa america best player
Lewandowsky angechukua vipi hapo?
Finali za UCL ni mechi tofauti, mbona Haaland hakufurukuta hata kidogo, kama sio uzembe wa Inter kumuachia gap Rodri hiyo mechi ilikuwa ni shughuli kubwa. hakuna wa kulaumiwa hapo. Lutaro bado ni foward mzuri, simply alibanwa. Pia tukumbuke presure za UCL ni kubwa, wachezaji kama akina Drogba tu ndio foward asiyechukuliwa na presure za mechi kubwaHakuna forward pale mamaeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Fair play mkuu.Timu bora imeshinda. Hakuna namna.