Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
.city of Manchester
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rodri has been named 2022/23 Champions league player of the season.
Robotic Rodrygo
12 appearances
2 goals
31.7 km/hr top speed
93.8% pass accuracy
Rodri ni mashine ya kazi.Duu kwel jamaa kapiga kaz san na anachukuliwa poa
Tupo pamoja, Mimi pia ni cityzenThubutuuuuuuuuu!! Mie ni Citizen wa Manchester [emoji170][emoji170]
Yaaah Leo parade mapema kabisa ...Leo ndio parade
Tunaweza tukipa kiungo mmoja kama KDBYaani sijui ifanyike miujiza gani hili kombe tulibebe mfululizo hata mara 3 tu ili tuheshimiane vilivyo
Kovacic soon anatua city , sijajua kama akija atafika anakiwasha ...Tunaweza tukipa kiungo mmoja kama KDB
Hapa pesa ya klabu haitakuwa involved sana kwenye usajili, kuna ripoti zinasema tumeandaa budget ya £300m kwa ajili ya usajili summer, yote hiyo ni pesa ya makombe, hapo bado ya wale watakaouzwa.Kitita cha £ 110million kimeingia baada ya kushinda UEFA, total prize money tuliopata msimu huu ni almost £ 280million.
Money city