The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huu msimu unaweza usijirudie tena kwahiyo furahini vya kutosha
.
FB_IMG_16866245125330477.jpg
 
Saizi pep hana cha kuwambia Tena wachezaji kwenye dressing room ,maana watakuwa na medali ya kila kombe ,...tunahitaji damu changa nyingine mpya zitakazo pambania timu ...

Kuna wachezaji nawaona kabisa next season kiwango kikiwa chini ....
 
Back
Top Bottom