Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Cancelo hawezi rudi na wala timu haimuhitaji kabisa ...Wanasajili kwa mahesabu, kama walker akiondoka rasmi nadhani lazima tumvute pavard, the same kwa bernado, mahrez na Laporte ndo mana unaona kama tumeslow down.
Subiri mtu aondoke, utashangaa wiki inayofuata chuma kipya.
Cancelo hana impact ka tulivyoona msimu uliopita hata asipokuwepo.
Mchezaji akikaa bench anavimba kama kameza puto ..
Kiufupi Bado tunakikosi cha moto ..
Next season vichapo vinaendelea kama kawaida ...
Kuna kenge huko zinajipa faraha mara oooh walker anaondoka ,aende wapi ?, Mara bernado silva wanampoteza apotelee wapi ? Mahrez sijui nin ,subili pre season ianzee vyuma vyote vitue harafu waanze kutafutana ..