The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Baller
mancity-20230812-0001.jpg
 
Siku hizi marefaree wanaongeza dakika nyingi sana ,sijui manatumia vifaa gani kugundua muda uliopotea ..
Zile kanuni za world cup wameleta na huku, sasahivi itakua ni mtafutano, dk 12 za nyongeza ni kugusa tu, hapo ukute mnaongoza 1-0 au 2-1 [emoji23]
 
Kdb naona kawanunulia simu bana ,team nzima [emoji23]

Kevin De Bruyne has gifted his #ManCity team-mates, Pep Guardiola, and Sheikh Mansour custom made £5,000 platinum iPhone 14s with their name and a City badge engraved onto the case to commemorate the club's historic treble-winning season,
FB_IMG_16917885222669284.jpg
 
Zile kanuni za world cup wameleta na huku, sasahivi itakua ni mtafutano, dk 12 za nyongeza ni kugusa tu, hapo ukute mnaongoza 1-0 au 2-1 [emoji23]
Daaa nimeshangaa kipind cha kwanza dakika 5 ,kipindi cha pili dakika 6 na Bado zikaenda Hadi 8[emoji23][emoji23]
 
Timu Kwa Sasa ina sprity moja
Kali Sana ,kila nikiangalia body language ya kila mchezaji ,inaonesha kabisa ananjaa na magoli + makombe ....

Hata kama kdb msimu huu hatakuwa vzuri ,Bado tupo strong ....
 
Hii injury ya kdb dah, jamaa hakua biscuit namna hii.
Hapa inabidi aongezwe midfielder mwingine asee, nadhan hapa tutaingia wazima kwa paqueta japo iyo hela tunapigwa ila naona kuna uwezekano tukafumba macho tu tukaitoa.
 
Jana Kuna muda pep alikuwa anakwaluzana na haaland ...

Bernado silva alikuwa na mpira ,haaland akafanya movement mbele huku akitaka bernado silva kumpa mpira ...lakin bernado silva akaacha kumpigia ,basi haaland akamind na kuanza kumfokea bernado ...

Pep akamfuata haaland na kumfokea tena [emoji23], ....

Unaambiwa haaland kila muda alikuwa anasema " give me the ball ,give me the f**king ball " pep akaona huyu anazidi Sasa ...


[emoji2424]| Pep Guaridola: “The accident with Erling Haaland? He wants all the time the ball to him, man-to-man, 'give me the ball in behind and I'm going to do it.' But when you have two minutes left and Kovacic goes in behind and loses the ball, and Rodri loses the ball, and Erling wants that ball - Bernardo was correct to not give him that ball..”

Pep anakuambia hakuna kupiga pass kama mchezaji hayupo mazingira mazuri ,hakikisha unapiga accurate pass ,na hakikisha pass inamfikia mtu ....
 
Hii injury ya kdb dah, jamaa hakua biscuit namna hii.
Hapa inabidi aongezwe midfielder mwingine asee, nadhan hapa tutaingia wazima kwa paqueta japo iyo hela tunapigwa ila naona kuna uwezekano tukafumba macho tu tukaitoa.
Saiv mkuu kupigiwa kwny usajili limekua jambo la kawaida.

Soko limeharibika kitambo wachezaj wako overpriced sana.
 
[emoji981] "Sina nia ya kuondoka West Ham Lakini ni wazi kwamba tulitamani sana kucheza tukiwa wadogo katika klabu za Real Madrid, Barcelona na ManCity hizi ndio klabu kubwa ambazo ni ndoto ya kila mtu kuzichezea".[emoji1054][emoji981]

[emoji860] Lucas Paqueta Mshambuliaji wa West Ham.
 
Jeremy doku jana kaupiga mwingi mnoo.

Huyu tunamfatilia kama replacement ya riyad mahrez, wiki hii tunaweza kupeleka bid.
 
Back
Top Bottom