Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Baller
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile kanuni za world cup wameleta na huku, sasahivi itakua ni mtafutano, dk 12 za nyongeza ni kugusa tu, hapo ukute mnaongoza 1-0 au 2-1 [emoji23]Siku hizi marefaree wanaongeza dakika nyingi sana ,sijui manatumia vifaa gani kugundua muda uliopotea ..
Daaa nimeshangaa kipind cha kwanza dakika 5 ,kipindi cha pili dakika 6 na Bado zikaenda Hadi 8[emoji23][emoji23]Zile kanuni za world cup wameleta na huku, sasahivi itakua ni mtafutano, dk 12 za nyongeza ni kugusa tu, hapo ukute mnaongoza 1-0 au 2-1 [emoji23]
Huyu hatapoteza muda kukaa bench et kuadapt mfumo ...Gvardiol mmemuonaje kwa hizi dakika alizocheza?
Mie naona ni stones mtupu.
Saiv mkuu kupigiwa kwny usajili limekua jambo la kawaida.Hii injury ya kdb dah, jamaa hakua biscuit namna hii.
Hapa inabidi aongezwe midfielder mwingine asee, nadhan hapa tutaingia wazima kwa paqueta japo iyo hela tunapigwa ila naona kuna uwezekano tukafumba macho tu tukaitoa.