Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Bora asew yan kutoka draw na hawa walala hoi ni fedheha.
RODRIIII [emoji91][emoji91]
RODRIIII [emoji91][emoji91]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yan hawa sijui wametumwa tumepata chances nzr nyng tunaleta ufala.Grealish nae mjinga tu, kuna counter tulikua tumetoka vizuri, haaland alikua ashapita, yeye analeta ubishoo tu wa kudribble mbwa huyo.
Timu zetu zipi tena😀 Akiondoka Pep tunamrudisha ArtetaKwahiyo nyie mechi moja tu bila Pep ndo mnasuasua hivi dhidi ya promoted team?
Nyie muombe sana mungu aendelee kumuweka Pep, bila ya hivyo mtarudi timu zenu za zamani.
Leo wachezaj walikua too relaxed na mistakes ndg ndg za kifala.. Kdg tutoke draw na hawa wachimba chumvi wa Bramal lane hukoAcha tupigwe baridi, hawa wajinga walitaka kutulaza na viatu.
BernardoKova, foden, rodri
Hawa watu tunawahitaji sana, alvarez sometimes anakua mzinguaji kama leo.
YeahBernardo
Walker kwenye kushambulia ni kumuonea tu hamna kitu pale, kwenye ku defend ndio mahala pake.Walker Yuko predictable Sana ,ule upande wa kulia na cross zake za kubabatiza kwa wachezaji anatakiwa kubadilika ...
Aiseee Leo wachezaji inaonesha kabisa hawakuwa motivated na game ,kiufupi hawakupata maneno magumu ya kuwashawishi wajitume uwanjan ...Hapa kwa gvardiol tuna mtu.
Jamaa katulia anatembeza soka.
Mbona wana wamepambana fresh tu?Aiseee Leo wachezaji inaonesha kabisa hawakuwa motivated na game ,kiufupi hawakupata maneno magumu ya kuwashawishi wajitume uwanjan ...
Mtu Kama grealish anadribble lakin zero effect , unaona kabisa Kuna mipira anapuuzia ...sehemu haaland kashatengeneza run nzuri lakin anapoza mashambulizi ..jinga kabisa ..