The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Bora asew yan kutoka draw na hawa walala hoi ni fedheha.

RODRIIII [emoji91][emoji91]
 
Grealish nae mjinga tu, kuna counter tulikua tumetoka vizuri, haaland alikua ashapita, yeye analeta ubishoo tu wa kudribble mbwa huyo.
 
Yan hawa sijui wametumwa tumepata chances nzr nyng tunaleta ufala.

Pep najua baada ya game nahis atawapigia zoom call kbs kuwamind[emoji23]
 
Hapa kwa gvardiol tuna mtu.

Jamaa katulia anatembeza soka.
Aiseee Leo wachezaji inaonesha kabisa hawakuwa motivated na game ,kiufupi hawakupata maneno magumu ya kuwashawishi wajitume uwanjan ...

Mtu Kama grealish anadribble lakin zero effect , unaona kabisa Kuna mipira anapuuzia ...sehemu haaland kashatengeneza run nzuri lakin anapoza mashambulizi ..jinga kabisa ..
 
Mbona wana wamepambana fresh tu?

Makosa madogo madogo tu ndo yamewapa goli wale jamaa.

Grealish ukiacha assist yake, kacheza upumbavu mtupu, ule upande wake bure kabisa jamaa sehemu ya kutoa pasi chap yeye anataka akae nao.
 
Back
Top Bottom