The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Wewe sio shabiki wa man city,
Narudia... Au mpira umeanza kushabikia mwaka gani,,[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha unafiki.
Kama una 20yrs+ rudi Tim yako
Mim sibishani na watu empty headed kama nyie ,kama huna hoja ,hujui football nenda hata Uzi WA kulana kimasiala ndio Akili yako inapoishia ,huku kwenye ulimwengu WA football tuachie wanaume ,hizi level sio zako ....unajiabisha
 
Juzi mlikua mnaogopa hata kwenda mbele, kazi kupooza mashambulizi.

Doku kaingia na machachari yake kala nutmeg safi, kazuiwa mpaka na Zinchenko asiejua kukaba.

Haaland nae akageuka Tom 😂

Pep alikua analia lia tu kule nje.

Kovacic na mbeleko za refa.

Na yule Gvadiol kumbe ni uchochoro, kila muda anachukuliwa na Jesus.

Alvarez kazi ikamshinda mapeema.

Mwisho captain wenu kichaa akaanzisha ugomvi.

😂😂🙌
 
Juzi mlikua mnaogopa hata kwenda mbele, kazi kupooza mashambulizi.

Doku kaingia na machachari yake kala nutmeg safi, kazuiwa mpaka na Zinchenko asiejua kukaba.

Haaland nae akageuka Tom [emoji23]

Pep alikua analia lia tu kule nje.

Kovacic na mbeleko za refa.

Na yule Gvadiol kumbe ni uchochoro, kila muda anachukuliwa na Jesus.

Alvarez kazi ikamshinda mapeema.

Mwisho captain wenu kichaa akaanzisha ugomvi.

[emoji23][emoji23][emoji119]
0 CL football club
456450085.jpg
 
Shukuru Mungu var iliwabeba ,ile handball ya vvd Kila MTU aliiona ,mpaka de zerb akabaki anashangaa[emoji23]
Okoteni kwanza meneja wenu ndio mje hapa tujadili😂
 
Attachments

  • primary%3AAndroid%2Fmedia%2Fcom.whatsapp.w4b%2FWhatsApp%20Business%2FMedia%2F.Statuses%2Fecd76...mp4
    404 KB
Pep Guardiola on Man City losing back to back Premier League games:

[emoji2788] "This is not news. Arsenal beating Man City for the first time after 12 losses is news" [emoji3063][emoji28]

FB_IMG_1696957579019.jpg
 
Back
Top Bottom